Miaka 4 ndani ya ndoa na watoto 2

Miaka 4 ndani ya ndoa na watoto 2

Kwa maisha ya sasa minne ni mingsana na mungu akubariki tulia na huyo mkeo utafanikiwa.

Kwa kweli kwa yule mtu anayejua ndoa 4years mkiwa wenye afya njema na mapenzi as if kama mlitongozana jana si mchezo na rafiki zangu 3 wameachana na ndoa zao ambazo hazikudumu zaidi ya miaaka mitatu.
 
Aksante sana Iron Lady

Nami November this year nitakuwa na miaka minne with one lovely baby girl with 8 months.may god bless us all.furaha na mafanikio yazidi kutawala familia zetu.wanandoa wote wanaothamini ndoa zao
 
Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa bodini.
Munguu mkuu katika miaka hiyo mnne tumebarikiwa kupata watoto wawili a girl 4yrs and a boy 1.5yrs.
ndoa yangu ina miaka sita. tulioana 2008, Mungu alichelewesha kidogo kupata watoto, hivyo mtoto wetu wa kwanza tulimpata january 2011. lakini toka mwaka 2011 hadi leo (miaka mitatu), ndani ya miaka mitatu Mungu ametubariki na watoto watatu. mtoto wa kwanza single, uzao uliofuata hapa juzi ni mapacha. sifa na shukrani kwa Mungu. ila miaka tangu 2008 hadi 2011 ilikuwa michungu sana kwetu (mimi na mke wangu), tunamshukuru Mungu tulishikamana tukapuuzia maneno ya ndugu wa pande zote mbili. waliotaka twende kwa waganga wa kienyeji kutafuta watoto tuliwabeza. ndugu zetu wengine wanafanya dawa za kupata watoto na uchafu wote huo. lakini sisi tulimsubiri Mungu tukitaka watoto tutakaopata wawe wametoka kwa Mungu, sio watoto wa kishetani/kiganga na kichawi.

napenda kuwaambia watu ambao hawajapata watoto kwa muda sasa, labda umehangaika sana kutafuta watoto. watoto ni zawadi toka kwa Mungu, na Mungu ndiye huwa anatoa watoto. jaribu kujitoa mhanga, mwamini Mungu tu, achana na wachawi. na Mungu hatakuangusha. ndani ya miaka mitatu tumepata watoto watatu na maisha yetu yametengemaaa, tulipooana uchumi wetu haukuwa mzuri na watoto wetu wangezaliwa kipindi kile wangepata shida. Mungu akatupatia kwa wakati wake stahiki, ndio maana bora kumsubiri Mungu katika kila kitu. Bwana Yesu asifiwe!
 
nimesema tuu wanatosha kwa kweli tena jinsi umepangilia
 
Ameeeeen..... Mungu wetu anaweza.. Hongereni sana...!
 
Huja kkosea kweli. Ndoa 4 years.
First born 4 years ina maana mrs kurunzi ulimwoa akiwa na mtoto. Ulichagua vema maana hukutaka kuoa tasa.

siku izi tuna pima oil engine kabla ya kuoa kaka /dada
 
Nami November this year nitakuwa na miaka minne with one lovely baby girl with 8 months.may god bless us all.furaha na mafanikio yazidi kutawala familia zetu.wanandoa wote wanaothamini ndoa zao

Hongera sana pamoja upendo na amani itawale.
 
aisee hongera sana na wanatosha

Shukrani tunamshukuru Mungu sasa tunamuomba Mungu tuatunze vema wapate afya bora na elimu nzuri kadri tutakavyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
 
Hongera Mkuu pamoja sana endelea kumpenda mke wako sana pia muwalee watoto wenu vema. Mungu awe nawe na familia yako. Kumbuka kumshukuru Mungu kwa sadaka.
 
Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa bodini.
Munguu mkuu katika miaka hiyo mnne tumebarikiwa kupata watoto wawili a girl 4yrs and a boy 1.5yrs.
Hongera ila umetuficha small house wako. Au mama yupo JF?
 
Hongera Mkuu pamoja sana endelea kumpenda mke wako sana pia muwalee watoto wenu vema. Mungu awe nawe na familia yako. Kumbuka kumshukuru Mungu kwa sadaka.

Nashukuru Hakikwanza sadaka ni muhimu sana kwani ni kama unamrudishia Mungu Mrs Kurunzi nafikiri mama umepata ujumbe.
 
Last edited by a moderator:
Aisee siku zinaenda kwa kasi kweli
 
Back
Top Bottom