Recent content by nkowowo

  1. nkowowo

    An army

    mbona waliomaliza vyuo vikuu wameenda, ni mjuano na sio bajeti.
  2. nkowowo

    JWTZ Professionals

    umeona eeh, kama huna information ya ukweli jst shut up watu tupo serious na kama unayo tena ya uhakika bc FUNGUKA sio kupost tu ilimradi uonekane umepost
  3. nkowowo

    JWTZ proffessionals vipi?

    ndo mpango mzima huo kijana mateso baada ya hapo bataaaaaaaaaaa
  4. nkowowo

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    kama tangazo lako ni la uongo mi naomba jf iwachukulie hatua za kisheria, watu tuko serious nyie mnaleta utani. tajeni ofisi zenu ziko wapi mi naomba kabla tangazo la kazi halijawekwa lipitiwe kwanza na viongoz wa jf na ijulikane ni kweli ndo liwekwe.
  5. nkowowo

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    am okey now thanks kwa michango yenu.
  6. nkowowo

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    naumwa mafua mepesi yananisumbua sana nakunywa dawa za hospital ila naona zinanichelewesha naombeni mnisaidie dawa asilia ya kutibu mafua
  7. nkowowo

    Nauza bb bold 9700

    nipo arusha makumira, nitaipataje?
  8. nkowowo

    45 things that girls want,but wont ask 4.

    kama bado wapo bac nahitaji mmoja TU!
  9. nkowowo

    Mama mkwe kambania

    Hakuna cha ucute nao wangeandamana JF kuomba ushauri wamekataliwa ukweni.
  10. nkowowo

    Mama mkwe kambania

    hao wajukuu wangekuaje? bora amekataa!
  11. nkowowo

    Samahani kaka..........eti umeoa................!

    hapo una yako, unavuta mda wa nini hauelewi kama yuko kwenye windo.
  12. nkowowo

    Njaaaaa,........

    Ninasikia njaa kila baada ya saa moja, baada ya kumaliza kula chakula, nimekunywa dawa za minyoo haijanisaidia, naombeni mnisaidie maana maisha na bajeti ya sasa hayaendi.
  13. nkowowo

    Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    we umenena!:ohwell:
Back
Top Bottom