Nisaidie hili mkuu, nahitaji kuweka tank la maji litre 5,000 juu ya slab ya veranda ya jiko, niijengeje slab hiyo ili iwe na uwezo wa kubeba tank la uzito huo?
Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000.
Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Kuzingatia maelekezo ni sehemu ya usahili. Hivyo kama wamerudishwa ujue wamefeli usahili, jiulize kwanini kuna walioingia. Maelekezo yalisema wasahiliwa waje na vyeti orijino msahiliwa anakuja na copy ya rangi unataka msimamizi afanye nini!!? Umeambiwa njoo na barakoa wewe huna, msaili akufanye...
Una hoja mkuu, lakini ninafikiria inawezekanaje serikali iuze kiwanja chenye mgogoro! Inawezekanaje serikali iuze kiwanja kwenye maeneo hatarishi Kwa mafuriko n.k, najiuliza tu inawezekanaje!! Yani serikali badala ya kuleta usitawi Kwa wananchi wake ilete utapeli! Tutakuwa hatuko salama kabisa...
Ziko namna nyingi za kuwapata watendaji wa kata kama ulivyoeleza, lakini si Kwa namna ya kutangazwa na kuomba kama ajira zingine. Nioneshe tangazo la ajira za watendaji wa kata(WEO) Kwa miaka mitatu ya hivi karibuni mimi ntakuonesha bus lenye matairi mawili.
Leta uthibitisho wa tangazo la utendaji wa kata(WEO), ukiwa unahangaika kupata hicho kitu ndo utagundua kumbe umekaa bila taarifa za maana Kwa muda mrefu.
Salaam wakuu....
Nauliza iwapo upo uwezekano wa kuondoa vyeti nilivyoambatanisha kwenye maombi yangu pale kwenye academic qualification na kuweka vingine, zipo changamoto nimezibaini kwenye maombi niliyokwisha yatuma hivyo nahitaji kubadili vyeti vyotee. Nimejaribu kuondoa vyeti vilivyopo...
Shukrani Sana mkuu Kwa ufafanuzi huu mzuri japo umetumia lugha za kitaalamu na Mimi mwenzako ni wa D mbili hapo ndo nmepata taabu kuelewa.
Nieleze tu kwamba chini niende futi ngapi na upana uwe futi ngapi Kwa ngapi hapo ndo ntaelewa Kwa uzuri zaidi mkuu. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.