Recent content by Nkomandomondo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Ni lazima awe na mahali pa kuanzia... Ni kazi ngumu kinyume na wachambuzi wetu wanavyojitahidi kuonesha kwamba eti anaweza ndani ya siku 30 kubadilisha mifumo YOTE single handedly! Hata SUPERMAN hawezi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Dah! ajijengee kikosi madhubuti cha ulinzi kabla hajaanza kukamua majipu SUGU...!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

    Mabomba yote ya yatatoa maziwa! Ndiyo mzee!! Nitaweka lami barabara hadi chooni! Ndiyo mzee! Ndiyo mzee!!... Kuna mwenye swali??? Siyo mzee!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe anaweza kushinda kesi dhidi ya Mwanyamaki

    Hili halina mjadala; aliyeshinda kesi anajulikana, mengine mapambo tu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Msimamo wa kuvilinda vitalu vyetu vya gesi ni ULE ULE, na waziri ni YULE YULE
  6. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Huyo mjeshi ni kama anatamani amsaidie first lady hivi!...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kuvaa nguo zangu za ndani

    Jibu sahihi kabisa!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

    Mwacheni bana. Uamuzi wowote atakaoufanya ni sahihi iwapo havunji sheria/ katiba ya JMT.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini elimu ya chuo na chuo kikuu isiwe bure kwa kila mtanzania

    There's no free lunch...Hebu nielimisheni; kuna nchi yoyote yenye uchumi unaokaribiana na kwetu inayotoa elimu ya juu BURE?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Bado wengi wenye majipu, waliotumbuliwa na watakaotumbuliwa wanakuja huko kutafuta faraja. Hapa ni kazi tu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Sindano inauma eh! Pole...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: The New "Vasco Da Gama"?

    Ina maana hata mwezi haujaisha keshalamba ticket tatu?? dah!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Sijaiona t-shirt mahali popote imeandikwa Friends of Magufuli. Usilazimishe uwepo wa kitu kisichokuwapo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mauza uza: Maalim bado anatumia Huduma za Serikali ya Zanzibar

    Vyeo, ofisi, bendera na stahiki za viongozi walioko madarakani i. e. pikipiki haviwahusu. Maalim Seif bado ni makamu wa kwanza wa rais HALALI kabisa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais amuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano kati ya nchi za Kiafrika na China, SA

    Xi Ping akusemeshe KICHINA wewe umjibu KIDHUNGU! Kama si utaahira ni nini? Hizo ndio ajira za WAKALIMANI wetu...
Back
Top Bottom