inawe
inawezekana ilikuwa kawaida au haikuwa kawaida kwani zilitumika njia kadhaa kama ifuatavyo:
>hospitali walikuwa wanasema ni kawaida ujauzito siku za mwanzo huwa unapambana kujishikiza kwenye mji wa mimba...jambo hili huleta usumbufu kiafya kwa mjamzito na anapaswa kupumzika vya kutosha...
nashukuru kwa utayari wako ...Namshukuru Mungu kwani alipona na alijifungua mtoto salama ..ingawa miezi mitatu ya mwanzo wa ujauzito ilikuwa changamoto sana
sio mbaya kwa yeye kusema hivo ..alitambua jinsi gani umasikini unavyodhalilisha na kushusha heshima ya mtu ..hata wanawake wanalijua hilo kuwa kuolewa na mtu masikini ni kama ajali..
ni heri ushukuru tu amekuwa mkweli kwako...kama ni mtu wa kujichanga kiuchumi ni vema umwambie tu sasa apambane kuweka mambo sawa yeye na wazazi wake wakurudishie hiyo mahali..
tatizo mataifa mengine yanalenga tununishiana misuli na marekani bila kujua mareni analenga nini ..wakati marekani anazingatia faida atakayopata endapo akipigana na taifa fulani ...wamarekani wakuda sana wakiiona fursa hawasubiri kuchokozwa watatafuta chokochoko zozote ilimradi wapigane
asee huyo muhudumu atakuwa na tatizo...lakini kwa kuwa ni mwanamke jaribu kumdadisi utajua tatizo lake ..kwanini akiombwa namba aseme yeye ni mke wa mtu..anajua wewe shida yako ni kugusa unyevu tu na inawezekana ameshakutamani
duuh..
vile vishule vya masister kwa namna vilivyo vya kikuda eti mwalimu wa kiume aweze kufika na kuingia kwenye bweni la watoto wakike.! tena na kumnyundia mwanafunzi bwenini..!..anyway .ester ni veteran yani kwenye game kitambo huyo..maelezo yake yanautata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.