Huwa natia bidii kutafuta mafuta mazuri kupaka kipili pili changu huku kikiwa Safi kimeoshwa daily hapo mambo poa kabisa, hiki kitu cha fake fair no nono
Huwa napata shida sana kuwaza unawezaje kusimama na kuanza kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake halafu kichwani umemkosoa kwa kuweka vitu ambavyo yeye hakukuumba navyo. Unakuta midude migumu kwa ndani mtu kashonwa na nyuzi kichwani yaani kisa fashion halafu ngoja uzi uachie bahati mbaya huwa...
Ukweli ni ukweli tuuu hata waje kama mvua ya radi. Wewe jiulize kwann wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo kuliko wanaume NI KUENDEKEZA VITU WANAVYO VIITA UREMBO kumbe kuna Wigi zingine Wahindu kwao ni IBADA nenda Google ukatafute UTAONA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.