Mapinduzi ni JAN 10, 64 na lengo lililowekwa inadiwa kuwa ni kuwaondoa madhalim, lakini ufahamu kuwa uhuru wa kijiwe (ZANZIBAR) ni DEC10,63 na waziri mkuu wa kwanza ni MOHAMED SHAMTE na kama si uhuru wa kweli basi Zanzibar isingepewa kiti katika Baraza la Umoja wa Mataifa mwezi tu baada ya...