Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
- Thread starter
- #101
Wewe mbona punguani wewe hivyo unataka kushindana Kiswahili na mimi mwenye lugha? Kujaga na kufuataga haimo ndani ya kamusi ya Kiswahili na wewe naona unatumia. Okay basi natutumie hiyo lugha unayoijuwa wewe hata ukaweza kuona makosa kwenye bango> Posti inayofuata andika Kingereza unijaribu kwani Kiswahili unaona sikijuwi.
hahahahhaa lugha nayoijua, twende kwa mzee si si au Ich liebe dich, kama upo hapo