Nairobi kama mtoni

Nelson Mandela katika kitabu chake "Long Walk to Freedom" anasimulia walipokamatwa na makaburu katika ile kesi iliyomfunga kifungo cha maisha, siku ya kwanza kuingizwa mahabusu walilazimishwa kuvua nguo zote. Anasema alishindwa kujizuia kucheka alipowaona viongozi wenzake wa ANC wakiwa uchi, kumbe ni tofauti sana na wanapokuwa kwenye zile 3-piece suits! Akaandika "clothes make the man!"
Imagine yule mzee aliyewaita wenzie 'kokoto' pale Jangwani unadhani akivua nguo zote atafananaje?
Ahaaaa umefanya usiku wangu uwenamwanzo wausingizi!!sina chakuongeza!
 
jama i utani mwingine mbaya... LOL

sijui huyo dada amefikiria nini kuvaa alichovaa
 
Nelson Mandela katika kitabu chake "Long Walk to Freedom" anasimulia walipokamatwa na makaburu katika ile kesi iliyomfunga kifungo cha maisha, siku ya kwanza kuingizwa mahabusu walilazimishwa kuvua nguo zote. Anasema alishindwa kujizuia kucheka alipowaona viongozi wenzake wa ANC wakiwa uchi, kumbe ni tofauti sana na wanapokuwa kwenye zile 3-piece suits! Akaandika "clothes make the man!"

Imagine yule mzee aliyewaita wenzie 'kokoto' pale Jangwani unadhani akivua nguo zote atafananaje?

LOL

Mkuu hii dunia hii, we acha tu
 
Afrodenzi
Huyo ni mwanmke angalia mkono wa kulia ana mkoba na pia anasidiria lakini ya kamba chunguza kwapa lakushoto kuna ziwa linoneka
 
Back
Top Bottom