Recent content by Njemba Soro.

  1. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Kila nikijitahidi nimuone Mwigulu Nchemba kama Waziri Mkuu nashindwa

    Nikiulizwa waziri mkuu wa Tanzania nataja majaliwa.
  2. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Kalameni kapigwa na mkewe Uingereza

    Hapo haki za binadamu huwezi kuwakuta...
  3. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Ndugu mtoa mada una akili kisoda kimoja..... Haiwezekani wewe muda wote usiwe online halafu uwaone hao watu..... ACHA UJINGA WATAKUBAKA.
  4. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

    Ukitoka kirima, unavuka moto isie unaingia boro, halafu unavuka moto umbwe unaingia sambarai.
  5. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu nae ni miongoni mwa kundi la wanamtandao hatari

    Kwa msisi yetu hukufa juzi kwenye wale 200?
  6. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi tusiopenda mijadala ya Siasa kanisani tunatamani misa ziongozwe na Makatekista kuliko Maaskofu

    Acha ujinga. Nenda msikitini usubiri mnunuliwe darubini na CCM.
  7. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mwigulu Lameck Nchemba

    Àkimsalimu wake zake inatosha. Asiniharibie sherehe kwa nuksi za October 29 2025.
  8. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya mtaa Mbezi Beach Ndumbwi aongoza wananchi kuzima mto kwenye nyumba iliyokuwa ikiungua

    Wanywa visungura wanatukana matusi mazito wanafunga geti..... Vijana wa hivyo.
  9. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

    Sambarai arifu..... Hivi unajua boro parokia ipo...
  10. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

    Naenda misa ya usiku,, ...
  11. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

    Unataka kusema nini mnama....
  12. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanayotoka Dar sasa hivi pamoja na mvua zote, hapa ni mitaa ya Wazo Tegeta, yamejaa tope tupu

    Bomba limepasuka Hilo... Nipo hapa wazo mashamba ya jeshi maji ni masafi kama kawaida.
  13. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la kuwatambua watumishi wa Mungu wa ukweli tu, Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la uwepo wa Mitume na Manabii wengi wa uongo na mchongo

    Wote ni matapeli..... Mwenye kuponya aende mitaani, mahospitalini akasaidie watu. Siyo kujenga kikanisa na kusubiri sadaka.... Hata mwandamizi Yesu alikuwa anawafuata wahitaji.
Back
Top Bottom