Recent content by Njalamatata

  1. N

    Padre afariki akiendesha Ibada ya Mazishi Mtwara

    Makamu wa Askofu wa Jimbo katoliki la Mtwara amekanusha hiyo habari. "Ni upuuzi,upotoshaji na kukosa weledi. Mpaka sasa na tarehe tajwa hakuna Padri wa Jimbo la Mtwara aliyefariki. Aidha hakuna Padri mwenye jina la Laurence Millanzi katika jimbo la Mtwara.Ni taarifa inayomfurahisha mwandishi...
  2. N

    Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

    Point yangu ni kuwa may be all government transactions now itakuwa through this new bank. Manake NMB walibebwa sana na government transactions Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Ubakaji huu wa mke umenitia minyororo ya majuto kila kukicha

    Dogo,mpandishe cheo huyo aitwe Bi mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

    Ikiwa ni ya serikali 100% that means NMB tutegemee walie Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    NOAH 1AZ ya mwaka 2002, 280,000 km naenda nayo karibu mikoa yote kwa kazi zangu,je recommendations oil ni ipi kati ya 5W-30 na 20W-50?
  6. N

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nishawahi kukatazwa na dealer wa Toyota kutumia injector cleaner,yeye alisema once ukianza basi inatakiwa utumie kila unapojaza mafuta hasa kwa kuwa filling station nyingi kwa bongo zinauza mafuta machafu (ambapo sikumuelewa kwa kweli) 1. Je, kuna ukweli katika hilo? 2. Nikiweka mafuta kwenye...
  7. N

    Old is Gold: Good music never dies

    Let's go dancing,inanikumbusha fainali kombe la dunia 1998,mzee Jacque Chirac aliicheza hii siku ile bila kupenda.
  8. N

    Asilimia Kubwa ya Ulichowahi Kusikia Kuhusu Nyoka ni Uongo na Hadithi za Kutunga Tu!

    8. Idara gani kwa hapa Tanzania inahusika na ukamataji nyoka,hasa wenye sumu? Na huchukua muda gani mpaka wafike eneo la tukio? Apart na chatu,sijawahi ona idara ya wanyamapori au yoyote ikija kukamata nyoka/kufukuza
  9. N

    Je, dini na vitabu vya dini vinasemaje juu ya binadamu kuuzwa na kupigwa mnada kama ng'ombe sokoni?

    Ndugu sio dini tu,tawala zetu za kiafrika hii kitu ilikuwa halali kabisa,soma kuhusu zulu,Manka Mussa,Buganda,Nyamwezi,Hehe(Mkwawa). By the way,wamisionari wa kwanza east africa makanisa yao yalianza kupata waumini kwa wao kununua watumwa hasa maeneo ya Zanzibar,Bagamoyo na Ujiji na kuwafanya...
  10. N

    Kuongea kilugha sehemu yenye mkusanyiko wa watu ni ushamba

    Ni uoga ndugu,kuogopa kuongea lugha ya asili yenu! Ni sawa na ukiwa Hamburg ushindwe kuongea Kiswahili na mbongo mwenzio bali unataka uongee kijerumani. Hapo ulipo una asili yenu kwa maana ya kabila,hata kama huna asili ya Tanzania,lakini asili yako unayo.Ndo maana wasomali wabongo wanatwanga...
  11. N

    Nahitaji nguvu ya solar power kuvuta maji katika project yangu

    Kwa uzoefu wangu,solar pump ni nzuri,nyepesi,na haina running cost. Tatizo lipo kwenye gharama wakati wa kununua,as you said angalau una uzoefu kwenye kilimo najua haitakupa shida. Kuna hawa jamaa wa Davis & Shirtliff wapo Arusha karibu na Posta Meru,pitia pale kama window shopping tu. Wanazo...
  12. N

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Zidumu FIKRA za mwenyekigoda....teh tehe tehe
  13. N

    Kuendesha Gari Barabara Kuu Sasa ni Kero: Alama za 50km/hr Zinapaswa Kupitiwa Upya

    Barabara ya Singida -Babati ina vibao vya 100 na jana nimepita njia hiyo kutokea Arusha,ingawa hizo alama nyingine 30,50,80 zipo pia.
  14. N

    January Makamba amenitapeli kisiasa na CCM yao. Mungu anaishi anaona

    Deo tunayemfaahamu hapa JF ndiyo huyu,bwana lawama.
  15. N

    Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

    Umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna mtu aliwahi kuniuliza "KWANINI TUNA MAWAZIRI WACHACHE WAKATI WABUNGE NI WENGI?"
Back
Top Bottom