Nahitaji nguvu ya solar power kuvuta maji katika project yangu

Nahitaji nguvu ya solar power kuvuta maji katika project yangu

Huko kwenye bustani za nyuma ya nyumba nilishatoka zamani sana. Anyway tuachane na hayo. Mdau alishasema unachomwambia anunue tayari anacho, anataka kuangalia altenative nyingine! Inamaana ameshaona faida na hasara za diesel power gen, ameopt solar kwa sasa!
Hongera mkuu,
Mimi nina vijiheka 10 vyote nimefunga drip.
 
Hongera mkuu,
Mimi nina vijiheka 10 vyote nimefunga drip.
Yote ni mapambano tu mkuu, wengine mazao tunayolima kutumia hiizo njia za umwagiliaji inakuwa haina maana, bado tunakomaa huenda tukaweza kuaford ma center pivot overhead sprinkler systems kama tutaendelea kuwa wazima.
 
- Kisima kina urefu wa 100 meter, kama sijakosea kwa kipimo hapo.
-Eneo langu lina ukubwa wa heka 17, but project yangu itaanza na like 5 heka , na mostly nimelenga pia katika kutengeneza bwawa la samaki , la kama vifaranga 1000 hivi, ( biashara ikiwa nzuri itapanuka zaidi,
-Hvo nahitaji niweze angagalu kumwagilia heka 2-3 kwa siku,
-Uzuri wa hii solar power water pamp , inaweza kuwasha umeme pia maana bado umeme upo mbali kiasi , kwa kipindi hichi almost 3 km kufika shambani kwangu.
- Nina pampu zingine za diesel , but kwa sasa ningependa kujua kuhusu solar power,
- Nimekuwa interested na solar power sababu nimeona kuna mradi wa kijijini kwetu unavuta maji na kusambaza kwa almost vijiji 3, na bado unatoa nishati ya mwanga , huu uliwekwa na wajerumani ilikuwa msaada, hivo sina contact nao, walishaondoka.

Regards
Kuna mahesabu napiga nikimaliza nitakushauri vizuri
 
Kuna mahesabu napiga nikimaliza nitakushauri vizuri
Kama unahitaji kumwagilia heka 3 kwa siku then unahitaji pump ambayo itaweza kupumpu lita elf 20 kama utakuwa umelima vitunguu kwa mfano.

Kwa sababu itakuwa unalima mazao mbalimbali na kila zao lina mahitaji yake ya maji basi nitakushauri upate pumbu yenye uwezo mkubwa.

Pump huzidiana uwezo wa kuvuta maji hivyo, kulingana na urefu wa kisima chako ni vyema ukatafuta pump yenye uwezo wa kuvuta maji hadi urefu wa mita 150.

Jedwali hilo hapo chini linaweza kukupa mwanga kidogo juu ya solar panel ya uwezio gani inaweza kuendesha pump ya uwezo gani na kiasi cha maji kwa saaa na kulingana na urefu wa kisima chako.



NB: Nimekujibu kulingana na utafiti wangu ninaoufanya juu ya kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia solar power. na hivi karibuni natarajia kuagiza full set kwa ajili ya majaribio.
 

Attachments

  • upload_2018-3-14_12-29-4.png
    upload_2018-3-14_12-29-4.png
    25 KB · Views: 200
Acha story nyingi, mwenzako ameshasema shambani tayari anayo generator ya Diesel lakini sasa hivi anahitaji solar water pump. Mwenzako yuko field, wewe uko nyuma ya keyboard!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dahhh
 
CUMINS,
Naomba msaada wa maelekezo ya namna ninavyoweza kufunga drip Irrigation system kwa kilimo cha nyuma ya nyumba. nimekuwa nikilima kilimo cha kumwagilia kwa mpira wa kushika mkononi ukitokea bombani, lakini natamani Drip irrigation system.
 
Heloo wadau, nina project yangu ya kilimo na ufugaji katika mkoa wa kilimanjaro, sasa nauliza iwapo naweza pata kampuni inayohusika na kufunga mashine za kuvuta maji kutoka katika visima vilivopo shambani ,
nahitaji ushauri na wenye kuhusika na hilo.
mawasiliano 0767328063
Kwa uzoefu wangu,solar pump ni nzuri,nyepesi,na haina running cost. Tatizo lipo kwenye gharama wakati wa kununua,as you said angalau una uzoefu kwenye kilimo najua haitakupa shida. Kuna hawa jamaa wa Davis & Shirtliff wapo Arusha karibu na Posta Meru,pitia pale kama window shopping tu. Wanazo pump za sola nzuri lakini ghali,bei inategemea kisima chako kinatoa lita ngapi kwa saa then wanakushauri ipi itafaa,nadhani zinaanzia Tsh 3 m up to 10,pia waweza enda pale Gadgetronix wanazo baadhi pia. Hongera kwa kuwa mkulima na karibu chamani
 
mimi nakushauri ufunge windmill kwa sababu upepo unapatakina usiku na mchana solar inapatikana mchana tu
windmill unaweza andaa mwenyewe au ukampa project mtu mwenye idea ya ufundi
nkimaanisha kuandaa mwenyewe i mean yale mapanga na mnara vinatengenezeka kiurahisis
dc/ac motor inatengenezeka
inverter inatengenezeka
battery inaweza tengenezeka kutoka kwenye dumped battery even it is 20 years dumped
charge controller inaweza tengenezeka
mtafuate mtaalamu wa renewable akutengenezee kila kitu
 
Asanteni sana wadau kwa ushauri wenu mzuri , bado nafuatilia hili kuna kampuni kadhaa wameniambia angalau niwe na bajeti ya kuanzia 6m, na nitapata ninachotaka.
 
Naona kama hizo panels umezi-under utilize. Ukifanya ratio ya 1:1 (panel watts:battery AH) basi battery zingekua 600AH, hata hivyo ratio hiyo ni kubwa bado. Kwa wanaotumia sana huwa ratio nzuri ni 80% yaani panel kama hizo za 600W ungeweza kufunga batteries 750AH. Mimi ni mtumiaji wa kawaida nilifunga panels 3 za 65W na batteries 100AHX4 (victron) tangu mwaka 2006 niko vizuri!
Ninachokubaliana na wewe ni kuwa solar systems bado ni ghali sana hasa storage (battery) na inverters
 
Back
Top Bottom