Habar zenu wadau. Jumamosi nilifanya usaili pale mwalimu nyerere. Maelekezo tuliopewa ni kwamba usaili wa mazungumzo ni tarehe 10/06. Lkn mbona majina ya waliofaulu usaili wa kuandika hayajatoka mpaka sasa. Mwenye uzoefu anijuze plz. wanatoaga majina muda gani?
Wana jf naomba mnielewe..kipepeo mweusi alilog in kwa cm yangu akapost yaliyomkuta leo, alivyomaliza kupost mimi njaba nikachukua cm yngu nikalog in kwa id yangu. Baada ya hapo akatembelea thread yake kuona kama kuna ushauri wowote aliopewa. So akareply post alizotumiwa bila kulog out id yangu...
Tatizo hamjaona ndo mana mnasema hivyo!! cjapendezwa ila nimshangao wa lile gegedeo ndilo limenifanya niingie humu jf, na alivyonipigia cm aliniambia shida tofauti na alichotaka kukifanya..na sijawahi kukutana nae kimwili! mi hapa kinachoniumiza haswaa ni cm yangu dah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.