Mbnative
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 332
- 77
Mm nilifanya usaili wa afisa tarafa,na nilifaulu nikapangiwa ktk mkoa fulan hv lkn sikwenda baada ya kupata mchongo sehemu nyingine..mwenye kiu na hiyo nafasi anipim...nadhan maswali ni yaleyale..Msaada. Mwenye uzoefu na interview za afisa tarafa tunaomba kushare jamani.