Ipo njema sana hii, hapo haraka haraka nimeona uhusiano uliopo kati ya Bata za leo na ufukara wa kesho kwa mwalimu wa kwanza, pia nimeona uwekezaji wa mapema ambavyo huwalipa watu siku za mbele kwa mwalimu wa pili, namsubiri mwalimu wa tatu.
U-programm ubongo wako katika namna ya kujitegemea zaidi, ufanye ubongo wako uwaze fursa mbalimbali za kujiajiri, kwa kufanya hivyo utajikuta unapenda kufuatilia ishu za kujiajiri sio tu kwenye kozi yako bali na maeneo mengine.
Nikupongeze kwa kufikiri hilo ukiwa bado chuoni, maana sisi wengine...
Japo nimemaliza miaka ya hivi karibuni, kitu nachoweza kusema kinapelekea vijana kufaulu sana miaka hii mitihani imerahisishwa tofauti na zamani.
Anayebisha aangalie paper ya maths 2008 alinganishe na 2018.
Vilevile mtu aliyemaliza miaka ya nyuma akapata division four kwa miaka hii angekuwa na...
Aiseee ni shida kwelikweli! Hakuna uwiano mzuri kati ya wasomi na ajira zilizopo. Kuna baadhi ya kozi unakuta kwa kila wahitimu 1000 nafasi ya ajira ni moja.
Sekta ambayo naona inaweza kubeba watu wengi ni kilimo na mifugo iwapo changamoto mbalimbali zinazozikabi zitatatuliwa hususani masoko...
Daaah!!! Vyuoni huko ni nadharia na kukariri kwa sana.
Ukianza kufikiri nje ya boksi unakuta unaenda njia tofauti na lecturers unaliwa kichwa na habari yako inaishia hapo.
Elimu yetu bado ni tatizo, inalaza watu usingizi sana.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Japo ni UKWELI MCHUNGU juu ya kula kwenu maisha wafanyakazi wa serikali ukilinganisha na kundi kubwa la vijana waliojiajiri.
Hili la ninyi kula maisha ndo linaloleta changamoto mbalimbali ktk jamii, mfano kwa sababu mna uhakika wa mshahara kila mwezi, basi wengi wenu ni wavivu, wachache sana...
Hali ya kiuchumi ya vijana wengi ni mbaya, hivyo inakuwa ngumu kuoa, kwa sababu kuoa kunaambata na kuhudumia.
Upande wa mabinti nao wanaangalia hali za vijana wakuwaoa, akiona sehemu hata uhakika wa japo kula tu haupo anaona bora asiolewe.
Jamii na serikali kwa pamoja hatuna budi kuelekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.