Una mawazo mazuri sana, kwanza kabisa mimi ni muhitimu wa chuo kikuu SUA 2020, Niko Iringa kibiashara, nilianza na urembo na sasa nina Ofisi ya Vipodozi
Urembo namaanisha vitu kama hereni, lipstick, makeups, vioo, vitana n.k
Vipodozi namaanisha lotion, mafuta ya mgando, spry, sabuni n.k...