peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,029
- 26,231
Semina ya mkoa walilipana Tsh 60,000 Mara siku 21 = 1,260,000 per person. Ulikuwa ni Wizi mkubwa kuwahi kutokea.40000 per day.
Semina ya mkoa walilipana Tsh 60,000 Mara siku 21 = 1,260,000 per person. Ulikuwa ni Wizi mkubwa kuwahi kutokea.40000 per day.
Zoezi zima ni hadi September, semina ya sensa na sensa yenyewe.Nahisi typing error mimi pia nimeulizwa hivo nikawauliza semina hadi mwezi wa 9??? Wakasema ww jibu Upo tayar au hapananikasema Nipo tayar sasa semina mwez hadi wa 9 Inamaana sensa inapelekwa mbele au??
We ulitaka walipwe sh ngapiSemina ya mkoa walilipana Tsh 60,000 Mara siku 21 = 1,260,000 per person. Ulikuwa ni Wizi mkubwa kuwahi kutokea.
Sio kwamba semina itafanyika siku zote 21, Bali itagawanyika kwa week 3, week ya kwanza walio fanya usaili day one, week ya pili walio fanya usaili day 2, na week ya tatu walio fanya usaili day 3. Kwaio semina ni siku 5 kwakila group + 1ya sensa itakua siku 6....
Ngazi ya taifa siku 21,mkoa 21 ngazi ya wilaya wamesema siku 21Sio kwamba semina itafanyika siku zote 21, Bali itagawanyika kwa week 3, week ya kwanza walio fanya usaili day one, week ya pili walio fanya usaili day 2, na week ya tatu walio fanya usaili day 3. Kwaio semina ni siku 5 kwakila group + 1ya sensa itakua siku 6....
Sisi tumefanya usaili wote siku moja, una lipi la kusema afisa kipenyo?Sio kwamba semina itafanyika siku zote 21, Bali itagawanyika kwa week 3, week ya kwanza walio fanya usaili day one, week ya pili walio fanya usaili day 2, na week ya tatu walio fanya usaili day 3. Kwaio semina ni siku 5 kwakila group + 1ya sensa itakua siku 6....