Mwenye kufahamu taratibu za kupata lesseni ya uzalishaji mbegu anisaidie

Sep 8, 2021
29
35
Wakuu Mimi ni Kijana Mtanzania ninajishughurisha na kilimo cha mazao ya biashara siku za karibuni nimejikuta nanunua MBEGU Toka kampuni za ndani kigeni kama Toka India , Ufaransa , nk zina ubora ila baadhi ya MBEGU zinazozalishwa hapa nchini na kampuni za ndani nyingi hazina ubora .
Hivyo nimeona kuna fulsa ya kuanza kuzalisha MBEGU Mimi mwenyewe kwa ajiri ya kuziba pengo lililopo hasa upande wa MBEGU ya Mahindi, Alizeti , Maharage na Mtama
Rai yangu kwa mwenye kufahamu taratibu za kupata lesseni ya uzalishaji MBEGU anijuze pls JF ni msitu wa Maarifa
 
Unajua kanuni za uzalishaji kabla ya kutafuta leseni? Waone TOSCI wakupe mwongozo kwanza lakini kwa haraka ni kwamba unatakiwa kuwa na shamba ambalo halipakani na mashamba mengine ya zao Hilo kwa umbali wa MITA kadhaa (nimezisahau).
 
Jamii forum inawajinga sikuhizi balaa mtugani unauwezo wakuandika bandiko JF lakini ukashindwa kufikiria ungeweza kupata wapi leseni
 
Wakuu Mimi ni Kijana Mtanzania ninajishughurisha na kilimo cha mazao ya biashara siku za karibuni nimejikuta nanunua MBEGU Toka kampuni za ndani kigeni kama Toka India , Ufaransa , nk zina ubora ila baadhi ya MBEGU zinazozalishwa hapa nchini na kampuni za ndani nyingi hazina ubora .
Hivyo nimeona kuna fulsa ya kuanza kuzalisha MBEGU Mimi mwenyewe kwa ajiri ya kuziba pengo lililopo hasa upande wa MBEGU ya Mahindi, Alizeti , Maharage na Mtama
Rai yangu kwa mwenye kufahamu taratibu za kupata lesseni ya uzalishaji MBEGU anijuze pls JF ni msitu wa Maarifa
Una mtaji lakini?
Unaweza kupambana na akina Meru Agro?
 
Back
Top Bottom