Mkuu hao huwa wachafu kinoma. Huwa vyeupe vyeupe hivi ila rangi za vidole na viwiko haziendani na huo weupe. Sasa kwa bibi ndo usiseme, ni hatari! Rangi mbaya kinoma! Vinapenda kinoma kutumia filters za camera.
Mfano mzuri wa jinsi kizazi kilivyoharibika. Miaka ya 90, mtu angeambiwa unaenda bar bila hela, utaosheshwa glass au utabondwa au ingekuwa miaka ya 2000 angeambiwa utaacha dhamana ya simu. Ila siku hizi ndo hivi mtu anawaza shoga. Ni tatizo kubwa sana kwa mwanaume kukimbilia kuwaza ushoga first...
Afu sio kwa chai hii kali kabisa ya tangawizi. So mkuu wewe ukiondoka mademu huwa wanakufata tu😃😃😂😂
1.ulikuwa unatoka sengerema kuendelea mwanza mjini, merry akakuungia😂
2.ukaomba kwenda dar es salaam , merry nae akaunga
3.ilikuwa urudishwe bongo ila ukaomba kwenda iran na fatemeh akaridhia...
Yan unatuambia kwamba the most precious and most protected asset of the iranian intelligence ndo ilipelekwa huko huavalla sijui huvalla kwenye mashamba ya coca? Nani alikuwa anamlinda hapo shambani? Au hilo shamba ni la hao MOIS?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.