2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Kuna sehemu ametaja muda?Stop misinformation this picture was taken in the previous decade
alaf ni gari la kijeshi!!Hii imetokea CONGO
View attachment 1020887
========
Gari la Umoja wa Mataifa limepinduka huko Congo na inaripotiwa lilikuwa limebeba madini haramu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana walikuwa hawataki kuondoka na kazi hawafanyi yakulinda amani, KAZI kule mishahara wa UN na madini ya DRCHii imetokea CONGO
View attachment 1020887
========
Gari la Umoja wa Mataifa limepinduka huko Congo na inaripotiwa lilikuwa limebeba madini haramu.
Sent using Jamii Forums mobile app