Haya maisha tunapitia mengi sana yanayosimama kama vikwazo kwenye safari ya maisha yetu.... vijicho vya watu, sIrikali😁 plus wachawi....!
Lakini katika yote marufuku kukata tamaa!
Amen!
Barikiwa sana mjoli wa Bwana kwa andiko hili lenye kutuvusha!
Kuna makosa ya kimaandishi kwenye andiko lako, jitahidi sana kuyapunguza ni mengi mno mtumishi!!
Asante sana!
Kuna fine unaandikiwa bila kuweka leseni yako! Wanaweka plate number ya gari!
Na wakati mwingne unaweza andikiwa fine na traffic bila ya yeye kuhitaji kukusimamisha!!!
Hii imewahi kunitokea mara mbili ya kuandikiwa fine bila kusimamishwa na wakaandika plate number!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.