Kisa: Nilivyowahi maishani

Kisa: Nilivyowahi maishani

NAENDELEA PARTY 11

Naanza na kazi niliyokuwa naisubiri, siku moja bro wa kazi alinipgia simu kwamba njoo mwanza u report kazini nikamwambia sawa kweli nilifunga safari mpka mwanza na ilivyo bahati kuna ndugu yangu alikuwa anasoma chuo hapo mwanza na nilifikia kwake ukizngatia yeye ndo alinikaribisha baada ya kusikia naenda huko alinipigia simu nifikie kwake.

Aisee nilipofka pale ofisini nilishtuka sn kwanza ofisi haieleweki kabisa na watu walikuwa wengi sana ambao wote tulikuwa tunasubiri kuanza kwa mradi huo usioeleweka, mara paaap bro ananiambia wanahitaji elfu 50 mmmmh nilikuwa na elfu 40 nikaaazma elfu 10 kwa ndugu niliyefikia kwake.

Nilitoa ile hela kwa mawazo sn ukizngatia tayari pale ofisini hapaeleweki watu wengi njaa kali ukipta huku umeombwa hela ukikatza huku umeombwa hela ya chai si wafanyakazi wa ile ofs na si wasubiria kazi au mradi aloooo.

Siku zilipta karibu mwezi kila sku ni kwenda huko ofsini tu nikaishiwa kabisa hela nikaanza kutembea kwa mguu toka hapo kwa ndugu yangu mpka huko ofisini na pana umbali kwelikweli ni sawa na kutoka tegeta mpka makumbusho.
Yule ndugu yangu skuwahi mwambia kabisa kwamba natembea kwa mguu na narudi jioni kwa mguu sjala chochote
Msoto juu ya msoto ulipta kama mwezi nimeshakata tamaa nafikiria tu nifanye nn sasa kurudi dsm siwezi kurudi kwa yule rafiki yangu tena sjiskii kurudi pale kwake.
Sasa sku moja bro wa kaz alinipgia simu kwamba kuna sister yetu naye anakuja kwenye hiyo kaz kwaiyo nimpokee na kumuelekeza mazingira ya ofisi na wapi tumefikia nilicheka tu kimoyomoyo maana najua huku ofisin tunapotezeana muda tu hamna kitu.
Huyo mdada ndugu yangu anayekuja ni tumbo 1 na huyu ndugu yangu ninayeishi kwake sasa kwa maskitiko makubwa sku 1 nikiwa kule ofisini huyu ndugu yangu akanitumia ujumbe kwamba nitafute pa kuishi wakati nasikilizia hiyo kazi kwani yeye anamuachia chumba huyo dada anayekuja na yeye ameshaomba kwa rafiki zake awe analala huko daaah.
Niliumia sana lakini haikunisumbua sn maana misoto nilishazoea nilishapigika sn aloo nikaanza umiza kichwa sasa nifanye nn.
Nikamtaarifu yule rafiki yangu niliyekuwa naishi naye kwake wakati natoka dsm kwamba bwana nimefukuzwa huku mwanza na ndugu yangu na leo sina pa kulala kbs unanisaidiaje ndugu yangu.

Akanitumia elfu 10 kwamba jioni nitafute room ya elfu 5 nilale then kesho yake atawasiliana na wa kwao hapo mwanza nipate hufadhi kwao uzuri kuna baadhi ya ndugu zake walikuwa wananifahamu.

Nilipokuwa njiani jioni narudi sasa kwenda kubeba virago vyangu mara ikaingia sms toka kwa ndugu aliyesema nitafute pa kulala sms hiyo ilisema bro ( yule wa kazi ) kasema amemtafutia sister mahali pa kulala kwaiyo utaendelea kukaa hapa, nikamjibu nashukuru sana.

NITAENDELEA KESHO
Nini kilijili sasa baada ya hapo na mambo ya kazi
.
 
NAENDELEA PARTY 12

Nilipofika hapo kwa ndugu yangu mwanza aliyesema mwanzo kwamba nitafute pa kulala, story story kweli kesho yake yule sister alifika na nilimpokea kule kazini akiwa na matumaini kibao akiamini sasa kazi kapata maana kama ameambiwa aje kazini reporting.
Nilicheka sn kimoyomoyo nikamwambia hapa hamna kitu hapa hawa wanatupotezea muda wetu tu hapa akawa kama anataka kuni mind kwamba yaani mi nipo tu kama yeye anayajuaje mambo ya ndani ya ofisi kwamba kaz ipo au hakuna nikamwambia poa basi haina shida tukae ipo siku utayakumbuka haya niliyosema.

Siku zilianza kusonga sasa huyu sister nikawa nashinda naye kule ofisini na bado home kule kwa ndugu yetu tunaenda wote daaaah issue akaja nauli na menu lazima ni msupport maana yake hata pale kwa ndugu yetu nikawa napambana kwa washikaji ninafahamiana nao hasa yule jamaa yangu niliyefikia kwake wakati natoka dsm alinisaidia sn kiukweli hela ya kununua vimboga na unga nikawa natoa pale ila kwa machungu sana.

Likatokea zali kuna kazi za muda mfupi zilitokea za wizara ya afya za kwenda kufanya research ya chanjo mikoa tofauti tofauti yule bro wa kazi akaniunganisha huko nikapata na nilienda mkoa wa shinyanga nilipiga kazi huko wiki 2 na nilipata kama laki 5 ya faster.
Niiporudi nikawa nishaamua tu kuanza maisha yangu kazi hapa uzushi tu, nilinunua godoro, jiko la gas, vyombo kadhaa na nikabakiza kama laki 1 ya kodi.
Sa wakati natafuta chumba mwanza nikakumbuka kuna ndugu yangu 1 alikuwa mkoa wa kagera huko wilaya fulani na kipindi fulani aliwahi nishawishi sn niende nikampe hi, niliamua mtafuta tukaongea na nikampeleleza khs hali ya huko na gharama za maisha kwa ujumla akanambia we njoo tu gharama za maisha huku ni simple sn vyumba vipo mpaka vya ten na kina umeme, maji yapo ok.

Niliamua kwenda huko haraka sana na wakati huyo yule dada aliyekuja kwaajili ya kazi naye alisharudi huko kwake, nilifungasha vitu vyangu safari ya mkoa wa kagera ikaanza nilifika jioni sn na huyo ndugu yangu alikuwa kazini maana ni askali so akaniunganisha na mkewe akanipokea.
Nilipumzka pale siku kadhaa kwa ndugu yangu ili niendelee kuyasoma mazingira ya mji na tabia za watu wa mji ule na nijue nafanya nn sasa ili kupata kipato.
Alooo nilikuja kugundua shemeji yangu ni noma na ndugu yangu alishamalizwa kbs hana say si mnajua wahaya wakuu ni noma wanawake wa kihaya mnisamehe sana.
Nilianza kutafuta room haraka sn aisee nikishirikiana na huyo ndugu yangu nilipata room nikahama pale maana niligundua yule shemeji yangu tungekosana mapema sn maana bnafsi spendagi mambo ya kijinga jinga kabisa na ukimya wangu si wa kizuzu

Alooo TAENDELEA
Napo majanga yalianza huko kagera kati yangu na ndugu yangu...
 
Dah wanaume tunapitia mengi sana
 
NAENDELEA PARTY 11

Naanza na kazi niliyokuwa naisubiri, siku moja bro wa kazi alinipgia simu kwamba njoo mwanza u report kazini nikamwambia sawa kweli nilifunga safari mpka mwanza na ilivyo bahati kuna ndugu yangu alikuwa anasoma chuo hapo mwanza na nilifikia kwake ukizngatia yeye ndo alinikaribisha baada ya kusikia naenda huko alinipigia simu nifikie kwake.

Aisee nilipofka pale ofisini nilishtuka sn kwanza ofisi haieleweki kabisa na watu walikuwa wengi sana ambao wote tulikuwa tunasubiri kuanza kwa mradi huo usioeleweka, mara paaap bro ananiambia wanahitaji elfu 50 mmmmh nilikuwa na elfu 40 nikaaazma elfu 10 kwa ndugu niliyefikia kwake.

Nilitoa ile hela kwa mawazo sn ukizngatia tayari pale ofisini hapaeleweki watu wengi njaa kali ukipta huku umeombwa hela ukikatza huku umeombwa hela ya chai si wafanyakazi wa ile ofs na si wasubiria kazi au mradi aloooo.

Siku zilipta karibu mwezi kila sku ni kwenda huko ofsini tu nikaishiwa kabisa hela nikaanza kutembea kwa mguu toka hapo kwa ndugu yangu mpka huko ofisini na pana umbali kwelikweli ni sawa na kutoka tegeta mpka makumbusho.
Yule ndugu yangu skuwahi mwambia kabisa kwamba natembea kwa mguu na narudi jioni kwa mguu sjala chochote
Msoto juu ya msoto ulipta kama mwezi nimeshakata tamaa nafikiria tu nifanye nn sasa kurudi dsm siwezi kurudi kwa yule rafiki yangu tena sjiskii kurudi pale kwake.
Sasa sku moja bro wa kaz alinipgia simu kwamba kuna sister yetu naye anakuja kwenye hiyo kaz kwaiyo nimpokee na kumuelekeza mazingira ya ofisi na wapi tumefikia nilicheka tu kimoyomoyo maana najua huku ofisin tunapotezeana muda tu hamna kitu.
Huyo mdada ndugu yangu anayekuja ni tumbo 1 na huyu ndugu yangu ninayeishi kwake sasa kwa maskitiko makubwa sku 1 nikiwa kule ofisini huyu ndugu yangu akanitumia ujumbe kwamba nitafute pa kuishi wakati nasikilizia hiyo kazi kwani yeye anamuachia chumba huyo dada anayekuja na yeye ameshaomba kwa rafiki zake awe analala huko daaah.
Niliumia sana lakini haikunisumbua sn maana misoto nilishazoea nilishapigika sn aloo nikaanza umiza kichwa sasa nifanye nn.
Nikamtaarifu yule rafiki yangu niliyekuwa naishi naye kwake wakati natoka dsm kwamba bwana nimefukuzwa huku mwanza na ndugu yangu na leo sina pa kulala kbs unanisaidiaje ndugu yangu.

Akanitumia elfu 10 kwamba jioni nitafute room ya elfu 5 nilale then kesho yake atawasiliana na wa kwao hapo mwanza nipate hufadhi kwao uzuri kuna baadhi ya ndugu zake walikuwa wananifahamu.

Nilipokuwa njiani jioni narudi sasa kwenda kubeba virago vyangu mara ikaingia sms toka kwa ndugu aliyesema nitafute pa kulala sms hiyo ilisema bro ( yule wa kazi ) kasema amemtafutia sister mahali pa kulala kwaiyo utaendelea kukaa hapa, nikamjibu nashukuru sana.

NITAENDELEA KESHO
Nini kilijili sasa baada ya hapo na mambo ya kazi
.
Mzee kwa huo muda mzigo/Utelezi vp ulikuwa unaambualia ambulia mkuu!?
 
Wakuu hamjambo nyie madogo na wale wakubwa heshima yenu aisee....

Nikiwa nimemaliza degree yangu na matumaini kibao aisee haya maisha haya yamenifanya kuwa na nidhamu sana.
1. Mtiti ulianza home nilikuwa na chumba changu cha nje sjui kilitokea nn mzee one day ananitumia sms kwamba nikiwa natoka basi nikabidhi key kwa mama ( wa kambo ).
Ukweli nilikuwa natoka asubuhi narudi usku si kwamba nilikuwa naenda kuzurula hapana kutafuta hata kazi tu ya kujitolea .

Nilijibu ile sms kwa kumwambia mzee anipe wiki 1 nihame kabisa mi staki maneno maana maisha yashaanza kunichanganya. Hakujibu ila nilifanya hivyo akakatalia kitanda nikawaachia nikasepa zangu kuanza maisha enzi hizo goba bado sn nalala chini kwenye mkeka, asubuhi naamka natembea kwa mguu mpka posta aloooo.
Nilikuwa na demu wangu 1 akabeba mimba uzuri yeye alikuwa ameajiliwa ni mwalimu but naye alikuwa kichomi sana aisee, sasa kazi ikabaki kwangu nilikuwa natoka asubuhi sana home sjui naenda wapi sjui naenda kutafuta nn mfukoni sina hata 200 ya mihogo.

Natembea kwa mguu goba, mbezi luis, to kkoo to posta kisha narudi sina hali na hakuna wa kunionea huruma.

Sjui kula yangu wala kunywa yangu mwanamke hanielewi na wakati mwngne anasepa kaacha mtoto ndani sina hata 100 niliteseka sn, ajabu wenye maduka walikuwa wananiamini sn sjawahi enda dukani kukopa nikakosa lazma wanipe tu wengne nililipa wengne skulipa aloooo.
Kuna wakati nilitembea kwa mguu nikaenda tulia chini ya daraja fulani nkapitiwa usingzi aisee ile nashtuka nakuta nimezungukwa na ma kenge kama 50 hivi sjui ndo yalikuwa yanajipanga kunivamia nilikimbia hata sjui nilikiwa naelekea wapi 😴.

NILIAMUA KUFUNGUA BIASHARA YA KUCHOMA MAHINDI

Ila nyie mahindi yenyewe sjui kuchoma yakawa yanaungua tu mara mi siuzi wenzangu wanamaliza mi siuzi kbs nikaifunga skuwahi pata faida yoyote ile zaidi ya hasara huku namuwazia mwanangu home maana mwanamke haelewi.

Taendelea....
Hustle za maisha zinatafunza vingi sana Aisee Sema Maumivu Hayatuui Yanatukomaza
 
Mzee kwa huo muda mzigo/Utelezi vp ulikuwa unaambualia ambulia mkuu!?
Sa why not 🚫 mjomba 🤔 mbususu haina uhusiano na hali ya mtu uwe nazo au usiwe nazo muhimu mwanamke akuelewe , kama unabisha pata mwanamke awe na hisia na ww akupende ndo utajua kumbe na wao wanahonga...
Formula yangu sihongagi mwanamke ila natongoza anielewe kama ni hela nimpe tu kwa kuamua si kumuhonga au kumnunua, so nilikuwa nachakata tena nilipata mtoto mzuri kbs mjita mmoja mbichiiiii..
 
Acha kukurupuka kipindi hicho kitanda killikuwepo tyr halafu punguza ujuaji watu wanatombe.wa na wana kila kitu wanatoa mpk magari na bado wanatombe.wa sjui kama unalijua hilo.
Achana nao washamba hao, hawajui Kodi za kuishi mjini, mademu wanajengewa NYUMBA na maboss, msela choka mbaya au muhuni anaimiliki hiyo NYUMBA na demu anafata Sheria zote anazo pewa na msela, akizingua anafukuzwa akalale Kwa shoga zake , unacheza wewe, ukitaka kumu win demu mkabidhi Kwa MUNGU, kwishaaaa umemmaliza, sasa we jifanye shah rukh khan au Niki eti na mademu kibao ka mswati, na honga mapesa ka toto ya bakhresa.
 
Back
Top Bottom