Recent content by Ninkwenda

  1. N

    Benki gani ni bora?

    Ndugu zangu i wish kama wote mngekuwa na Akaunti Commercial Bank Of Africa (CBA) muone utofauti. hiyo stress free Banking unayosikia ni ya ukweli kinoma. nawakubali sana hawa jamaa. wamejipanga.
  2. N

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    kazi ipo. moto utawaka hapa.
  3. N

    Wanafanya nini hawa?!!!

    wote vichwa maji hawa.
  4. N

    Angekuwa Kunguru wa Zanzibar?!

    huyu kenge kweli. siajabu hapo keshapitisha mkojo.
  5. N

    Kweli dunia kizungumkuti!

    naona mtoto wa mkulima kama kapiga t-shirt ya Tusker vile?
  6. N

    Mama Mwambenja wa Exim is OUT

    lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.
  7. N

    Uzinduzi wa album 'Sifai" ya TID Bills

    Hii kweli Taarabu. Duh!
  8. N

    Arab Man

    waarabu upupu kweli kweli.
  9. N

    Hivi hadi uitwe MALAYA ni vitu gani uvifanye?

    Mtu anayeuza mwili sio malaya bali ni kahaba. malaya ni mtu mwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi katika mda mfupi au muda mmoja.
  10. N

    Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

    swala la vocha za pembejeo za kilimo hatasahau kulizungumzia ninavyomjua huyu.
  11. N

    Tutapona kwa Maradhi jamani?

    pajazzzzzzzzz!
  12. N

    Je ingekuwa kweli dunia ingekuwaje? Tafakari

    mh dole lake pana. asingeweza kupiga risasi.
  13. N

    Sikinde ya Kweli!!!!!

    oh yes! back in the days!
Back
Top Bottom