Uzinduzi wa album 'Sifai" ya TID Bills | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa album 'Sifai" ya TID Bills

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Dec 31, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  album ni ya taarabu au?
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  Shabaaaashi...hapo zinapwita tu...puuf puuffy
   
 4. N

  Ninkwenda Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii kweli Taarabu. Duh!
   
 5. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  katika watoto wa bongo flava ambao walikuwa wananikosha katika muonekano wa kimavazi ya kinyamwezi alikuwa huyu TID kwakweli alikuwa anawabururuza sana wenzake ila miaka ya karibuni naona kapoteza mwelekeo wa pamba ameanza kuonekana kama mzaire..nahisi fally ipupa kamuharibu!
   
 6. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,756
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naona n Frank Mtao hapo ana kitu cha ukweli
   
 7. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa watoto huwa wanatoka kwao, saa kuwaweka hapa si kuwasemelea kwa wazazi wao?
   
 8. Dadii

  Dadii Senior Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NI kweli Frank anakitu cha ukweli ila tutaishia kutambulisha kwenye club tu kule kwetu ismani hawawzi kutuelewa...... na style za vichupiiiii!!!! haya bwana ndo vioo vyetu vya jamiii!!
   
 9. Dadii

  Dadii Senior Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uzinduzi wa sifaii kwenye bongo flever ..... nafaaa kwenye kidole juuu
   
 10. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,567
  Likes Received: 10,802
  Trophy Points: 280
  TID si alifungiwa Bills baada ya mtafaruku wawke na Hasheem? Vip aliyekuweko atupe tathmini ya mahudhurio, make siku hizi mahudhurio Bongo Fleva yameshuka kiasi cha kuchanganya taarab taarab ili watu waburudike kidogo.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,335
  Likes Received: 14,606
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  huyo wa kushoto mwenye t shirt nyeusi ni demu? au? kama ni demu basi dada zetu wana undo go evolution
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,335
  Likes Received: 14,606
  Trophy Points: 280
  kachubua kiganja cha mkono mmoja??[​IMG]
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dunia imekwisha mie sina hata la kuchangia tuombe Mungu
   
 14. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  He came from long way, kwel ni Top in Dar! Nilikuwa nasikiliza interview clouds fm mchana kabla hy launch ya Sifai album, anastahili pongezi ingawa kwa kweli wanahtaji support ya kuzuia kuibiwa kazi zao! .
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Khaaa iyo mijimama hahha haha sina lakuandika'

  Ila TID mbona umewavalisha madensa wako wa kiume masweta jmni na joto la bongo kuchangia na kucheza mziki mhhh,

  Hongera sn
   
 16. m

  maggy mushy Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini wana jf wenzangu frank mtao mbona km kalala?au hataki kuona ay akimpa mkono hicho kipusa?
   
 17. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hapa nawaona maharusi watarajiwa ambao send off inafanyika kesho 02-01-2011, Elizabeth na Kevin ambaye kaficha sura na mkono. I like the couple
   
 18. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wabongo kwa shangwe hatujambo ,wote hawa wanalalamikia katiba sijui inawazuia nini kwenye
  mambo yao haya
   
Loading...