Recent content by ninja666

  1. ninja666

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

    Ikiwa anawajua kweli basi aende kenye vyombo vya sheria athibitishe .madai yake Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  2. ninja666

    JamiiForums Tanzania Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

    hadi sasa kuna mkanganyiko wa hii huduma ya E ticket maana mmiliki lazima ununue p.o.s yaan point of sale halafu uiweke float ndio uanze kukata tiket sasa mkanganyiko upo wapi ni hivi unaweza weka float halafu signal ipo chin yaan mtandao upo chin la pili unaweza weka float isionekane na...
  3. ninja666

    JamiiForums Tanzania ANC keeps power in South Africa but scandals cost it votes

    Hahaha Africa unite
  4. ninja666

    JamiiForums Tanzania Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

    Mwalimu nyerere alipewa madaraka mezani yaani uhuru wa bendera ila Nelson Mandela alikaa gerezani gerezani kupigania uhuru wa taifa lake
  5. ninja666

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

    Rankim ramadhan
  6. ninja666

    JamiiForums Tanzania Ben Pol kufunga ndoa hivi karibuni na Anerlisa

    Karibu ktk chama
  7. ninja666

    JamiiForums Tanzania TISS (Usalama wa Taifa) mkiona inafaa, anzieni hapa

    Anahangaika 2 gaid huwa hana acc za social media
  8. ninja666

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Inalillah wainna ilaih raajiun
  9. ninja666

    JamiiForums Tanzania VODACOM mnatusumbua wateja wenu

    Vodacom mmetisha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ninja666

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    nchi hii hakuna gereza lenye mlango wa nyuma .
  11. ninja666

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Je wewe hujawahi kulala na mwamaume maishani mwako ikiwa umewahi we pia ni chuma chakavu spare mpya haikufai
Back
Top Bottom