Recent content by NINAHASIRA

 1. N

  Taarifa kwa Access Bank

  Pole sana kaka! kwanza mtu kama huyo ulitakiwa kumripoti polisi, pia shukuru Mungu hukumtumia hela lazima ingeliwa tu. Inabdi watu muwe makini sana hawa matapeli ambao wanatumia vigezo vya uhaba wa ajira kujitengenezea vipato
 2. N

  Naumwa na kichwa balaa baada ya kufika kileleni

  Asante sana broda nimependa ushauri na nimeufanyia kazi!!
 3. N

  Naumwa na kichwa balaa baada ya kufika kileleni

  thanks sana kaka ushauri bomba !!
 4. N

  Naumwa na kichwa balaa baada ya kufika kileleni

  hapana na sijawi kutumia hyo kitu mkuu!!
 5. N

  Naumwa na kichwa balaa baada ya kufika kileleni

  Hi wapendwa, Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi karibuni tu kuwa ninapomaliza kupee bao la pili kichwa kinauma balaa . Yani naweza shinda usiku...
 6. N

  Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

  Kwa muda mwingi tanga bunge kutoa mapenedkezo kuhusu watuhumiwa wa account ya ESCROW mama huyu amekua akiongea sana na hata kujisifu kuwa Hela aliazopewa hazina shida ni mchango tu kwa shule yake na wala asingeweza kukataa.Pia jana ameongea na waandishi na kujisifu kua hawezi kujiudhuru kwani...
 7. N

  Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

  Yah ni ukwe;i mtupu! point kaka!
 8. N

  Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

  huyu mama uwaziri aliupata kwa kupewa fadhila kutokana na domo lake , kwani ni kati ya watu waliokuwa kwenye kundi la baba riziwani
 9. N

  Access bank interview

  Umeamini sasa!! Kama meseji ni kitu cha muhimu eeh! Watu zaidi ya elfu 1000 wote kuwapigia simu si masihala!! ndo mana kuna hizi push mobile ambao wana huduma ya kutuma Mesage nyingi at par.
 10. N

  Access bank hakuna dili

  kaka hapo dili lipo! unapimwa tuuu acha uoga! vpi leo umeripoti au?
 11. N

  Access bank hakuna dili

  HAKIKA KIKWETE ANA KAZI MNO KATIKA KUTATUA TATIZO LA VIJANA WA KITANZANIA KIMTAZAMO, MKUU NADHANI UMESAHAU KUWA KUWA KUNA WATU WANAFANYA KAZI HATA KWA KUVOLUNTEER, NA HAYO UNAYOYASEMA MI NAYAPINGA KABISA KWANI HUO NI MWANZO WA KZI MKUBWA UNGEWAULIZA WENZIO WALIOPO KWA NAFASI ZA CAHIEER WANALIPWA...
 12. N

  Hi to all

  nawasalimu wana JF wote!
 13. N

  Fixed account za benk na utajiri wa haraka haraka - welcome

  Jaribu AccessBank kaka they have very good rates!
 14. N

  Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

  kaka mimi nilichikua kamkopo kangu AccessBank hakika hawana masharti mengi na wanatoa mikopo kuanzia laki 1, na kwa muda mfupu kabisa! mi nadhani ni wakati wa kwenda kuwatembelea hawa jamaa wako vizuri kwa wajasiriamali tofauti na mabenki ambayo umeyataja hapo juu,. Kwa sasa NMB si ya makabwela...
 15. N

  Msaada: Je ni benki gani inafaa kwa kufungua account ya biashara?

  Usijali kaka nenda AccessBAnk Tanzania limited ( ABT) ni kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wadogo , akaunti ya biashara utafungua kwa kiasi kidogo kabisa cha shilingi elfu 50, na utaweza kupata kitabu cha hundi kwa shilingi elfu nane(Kurasa 25) au elfu 15 ( kurasa 50). Mjomba masharti yao ni...
Top Bottom