Naumwa na kichwa balaa baada ya kufika kileleni

NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
Hi wapendwa,

Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi karibuni tu kuwa ninapomaliza kupee bao la pili kichwa kinauma balaa .

Yani naweza shinda usiku mzima kichwa kinauma tu sasa sijajua ni nini kama kuna mtu anaweza nisaidia hapo shida nitashukuru!!

Asanteni.
 
Mrigariga

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,713
2,000
Siku hizi blood pressure inawapata hata vijana. Nenda hosputali kamuone daktari atakupima na pressure then utapata suluhisho la kudumu. Pole sukari imeingia shubiri.
 
guasa

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,867
0
Nyota yako ni ya bao moja sasa ukilazimisha ndo yanakuwa hayo kama zamani ulikuwa unaweza kupiga hatrick na kuendelea basi yakupasa uwaone matabibu.
 
msemakweli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,627
1,195
First let me say that this is not an uncommon occurrence, and it does not mean there is anything seriously wrong with you, or your sexual activity.

There are generally considered to be two types of these headaches. In one, the excitement building up with sexual activity causes muscle contraction in the head and neck, and this causes head pain.

It usually builds up to a maximum just before or at orgasm, and soon goes away.

The second type is caused by changes in blood vessels in the head and is probably a form of migraine. It is a very intense, severe headache usually occurring just before or during orgasm. It has been called an 'orgasmic headache' or 'orgasmic cephalalgic'.

The pain may be around or behind the eyes, and can last from a few minutes to a few hours.

Treatment: As for treatment, a
Physician may recommend reducing heavy sexual activity and masturbation for a short period of time ranging from a few days to a few weeks.

In addition, physicians may recommend medications.
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,503
2,000
Uwe unakunywa maji mengi before n after ya mech inaelekea injini huwa inapata moto.
 
gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,932
2,000
NINAHASIRA pole sana kwa kusumbuliwa na kichwa,
Una tatizo linaloitwa "Coital cephalalgia": ni maumivu ya makali ya kichwa kabla au wakati wa kupata orgasm(kufika kilele) kwa lugha nyingine inaitwa orgasm/sex migraine!Nakushauri uende kwa daktari kwani unahitaji kuchukuliwa CT-SCAN ya ubongo na unahitaji prescription ya "TRIPTAN"!!!Kila la kheri!!
 
Last edited by a moderator:

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,710
2,000
Labda "unaendesha gari lenye uzito mkubwa" kukushinda. Hivyo unatumia nguvu nyingi kuhimili majamboz. Jaribu kubadiri usiendeshe gari kubwa wakati leseni yako inaruhusu kuendesha magari madogo
 
NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
NINAHASIRA pole sana kwa kusumbuliwa na kichwa,
Una tatizo linaloitwa "Coital cephalalgia": ni maumivu ya makali ya kichwa kabla au wakati wa kupata orgasm(kufika kilele) kwa lugha nyingine inaitwa orgasm/sex migraine!Nakushauri uende kwa daktari kwani unahitaji kuchukuliwa CT-SCAN ya ubongo na unahitaji prescription ya "TRIPTAN"!!!Kila la kheri!!

thanks sana kaka ushauri bomba !!
 
NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
First let me say that this is not an uncommon occurrence, and it does not mean there is anything seriously wrong with you, or your sexual activity.

There are generally considered to be two types of these headaches. In one, the excitement building up with sexual activity causes muscle contraction in the head and neck, and this causes head pain.

It usually builds up to a maximum just before or at orgasm, and soon goes away.

The second type is caused by changes in blood vessels in the head and is probably a form of migraine. It is a very intense, severe headache usually occurring just before or during orgasm. It has been called an 'orgasmic headache' or 'orgasmic cephalalgic'.

The pain may be around or behind the eyes, and can last from a few minutes to a few hours.

Treatment: As for treatment, a
Physician may recommend reducing heavy sexual activity and masturbation for a short period of time ranging from a few days to a few weeks.

In addition, physicians may recommend medications.

Asante sana broda nimependa ushauri na nimeufanyia kazi!!
 
lauzi96

JF-Expert Member
Jul 10, 2014
423
1,000
kwani lazima kugonga bro utakufa bure mambo hayo tuachie wenye afya zetu usijilazimishe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom