Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
Uliona wapi mvaa hijab akawa na akili?

Umesahau pia kama Zitto in mvaa baraghashia lakini watu wote kwa hili wamemkubali ukiwemo na wewe!

Lakini tuende mbali zaidi kwa kusema, wote waliohusika kuchota mapesa kwa mifuko ya Rambo hamuna mvaa hijabu wala mvaa baraghashia.

Nadhani hapo itakua imekaa sawa.

Siku nyengine weka akiba ya maneno
 

qubic

Member
Apr 14, 2013
57
95
Iv na yule mama aliyekuwa anasuta kwamba ile ripoti ni mbinu ya wapinzani ccm itapeta tu anaitwa nan vle maana niliona aibu nikazima tv mpk alivyomaliza
 

BONGE BONGE

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
3,708
2,000
Ni kweli hat mimi nilishanga sana kuona waziri huyu hata haelewi nini madhumini ya akauti ya escrow ya tegeta!
Na ukienda mbali zaidi ni kwamba, karibu mawaziriwote waliosima na kuongea maelezo yao walitofautiana sana kimtazamo kiasi kwamba huwezi kujua kama wote ni wa serikali moja!
Pengine labda Prof Mwandosya kidogo alikuwa na mtazamo tofauti kwa kutaka jambo hili liwe na maamuzi ya wazi ili kusafisha si ccm yenyewe tu bali pia serikali nzima.


Sent from my iPad using JamiiForums
.....hi nchi uwaziri ni zaidi ya uwezo wa kuongoza, ushikaji ni kigezo kikubwa kuliko uwezo wa kuongoza na ama kufanya kazi

Chonde chonde kuweni makini kwani hamjui kuwa ni shoga yake na malkia na malkia ndiye anapanga safu? waziri anayebisha akosane na malkia aone cha moto.
..........upo sahihi kabisaa!
 

Idofi

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
2,058
2,000
si shemeji ya mkulu ndo maana anmbeba,hawezi kupewa tena uwazili na raisi ajaye
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Umesahau pia kama Zitto in mvaa baraghashia lakini watu wote kwa hili wamemkubali ukiwemo na wewe!

Lakini tuende mbali zaidi kwa kusema, wote waliohusika kuchota mapesa kwa mifuko ya Rambo hamuna mvaa hijabu wala mvaa baraghashia.

Nadhani hapo itakua imekaa sawa.

Siku nyengine weka akiba ya maneno

Ukimuona mtu anatathmini mambo yenye mezania kama haya kwa kuangalia MAVAZI muonee huruma! Labda ungempa mf. Wa Ashumpta Mshana ni wa mavazi gani ! Then ajumlishe utumbo aliyochangia !
 

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
520
195
Yeye si mama wa kutekeleza maagizo? hata km kun a ukweli yy atapindisha tu, anawatumikia walio muweka hapo juu.
 

lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,072
2,000
Wakuu,

Asilimia kubwa sana ya wanawake (wengi wao wakiwa CCM) walijitahidi kuwatetea mafisadi dhidi ya uma kiasi cha kujitoa ufahamu. Hali hii inatishia mustakabali wa taifa, tukizingatia kuwepo kwa kipengele cha 50/50 kwenye katiba pendekezwa.
Swali la kujiuliza; Kama viongozi wanawake watakuwa kama hawa tunaowaona, akiwamo speaker Makinda, kuna haja kweli ya kuwepo 50/50?
 

Mweusi alisi

Member
Nov 29, 2014
6
0
Nahic ata cc wananchi tunatakiwa kubadilika sababu hawa viongozi wabovo ambao ni mizigo ua tunawachagua sisi wenyewe!
Tukiendelea kulinda CCM tutazidi kulitokomeza taifa.
 

Muyagha

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
230
250
Hao ndio wenye Masters sijui wa darasa la tatu (wenye kujua kusoma na kuandika tu) itakuwaje?
 

George J Minja

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
289
195
Shida sio uwaziri shida ni wananchi waliomchagua kuwa mbunge na kama sio wananchi aliyemteua lazima mjiulize kuhusu yeye na wengi wa namna yake.Huu ni mwisho wa watu kama hawa kuongoza serikali yetu 2015 nchi itapata viongozi wanaostahili na wenye sifa za kuongoza.
 

NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
huyu mama uwaziri aliupata kwa kupewa fadhila kutokana na domo lake , kwani ni kati ya watu waliokuwa kwenye kundi la baba riziwani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom