Access bank hakuna dili

Zux de

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
227
195
Siku laumu kaka!haya yote nimatitizo na mifumo mibaya ndani ya nchi. Cha msingi cheki in and out ukiona ni mbaya piga chini. Maana ni hatari kufanya kitu kinacho kula kwako.
 
yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,364
1,225
duh hii noma maana wengine tumefanya interview leo.mbona thread inatutisha?
 
mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,145
2,000
vumilia kidogo labda ni jaribio kuona kama kweli unataka kuwa nao, yaani chukulia kama ni kuonjeshwa kazi zingine as hakuna baya hapo. baadae utaanza ulicho saini. jitahidi ufanye vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: Edo

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,894
1,225
Accessbank wababaishaji hao; leo mshikaji wamemtumia meseji kwamba anatakiwa Msimbazi centre muda saa 5 leo hii kwenye usaili, na wakati meseji inamfikia ilikuwa saa 7 akabaki anashangaa: kwakweli hawako makini.
 
mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,188
2,000
Umetumia mamilioni kupata dgree ,then wa2 wanaleta joke kwenye maisha ya watu...miss use of resource
 
wakuonewa

Member
May 1, 2012
14
20
uho ujasiliamali kila m2 anaupenda, ila utaapply wap ucpokuwa na capital mkuu. wa2 tunatafuta kazi ili tupate kamtaji cha kuanzisha vishughuli vyetu mkuu
 
Be happy

Member
Apr 25, 2012
34
95
Habar zenu kwanza. Am a new member in jf. Kwa kweli maisha ya kutegemea ajra magumu. Vumilia, huenda wanakupma kwnz ili waanze kkpa unachostahili.
 
NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....

HAKIKA KIKWETE ANA KAZI MNO KATIKA KUTATUA TATIZO LA VIJANA WA KITANZANIA KIMTAZAMO, MKUU NADHANI UMESAHAU KUWA KUWA KUNA WATU WANAFANYA KAZI HATA KWA KUVOLUNTEER, NA HAYO UNAYOYASEMA MI NAYAPINGA KABISA KWANI HUO NI MWANZO WA KZI MKUBWA UNGEWAULIZA WENZIO WALIOPO KWA NAFASI ZA CAHIEER WANALIPWA SHILINGI NGAPI THEN NDO UKAANDIKA THIS THREAD. nAKUBALIANA KABISA NA JAMAA ALIYESEMA YAWEZEKANA UNAPIMWA UVUMILIVU WAKO KATIKA KAZI, SASA WEWE MAPEMA UNAANZA KULALAMIKA, NI BORA TU UNGEPIGA CHINI MAPEMA UKAENDELEE KUOSHA VYOMBO NYUMBANI. HATA HIVYO YAWEZEKANA WEW NI MIONGONI MWA WATU WALIOSEMA WAKO LADHI KULIPWA ANY AMOUNT SASA UNACHOLALAMIKA NINI?.

kWANZA HAPO UMEZIBA TU NAFASI YA MTU MWINGINE NI BORA UKAACHIA NGAZI ILI WENZIO WAPEWE HIZO NAFASI MAPEMA HALAFU BAADAE WATAKAPOULA UUANZE KUTOA MIJICHO! kUWA MVUMULIVU TUU KAKA , NA LAITI KAMA UNGEJITAJA NA HAKIKA HYO KAZI WANGETIMUA LEO HII.

NAWAKUBALI ACCESSBANK KWANI NINA JAMAA ZANGU AMBAO WAMEANZA HIVYO HIVYO NA SASA NI MABOSI KABISA KATIKA BANK HYO, FRESHI FROM SCHOOL SASA WANAKULA MAISHA.TENA WALIFANYA DIRECT MARKETING BENKI IKIWA HATA HAIJULIKANI NDO INAANZA, LEO HII BENKI KAMA SIKOSEI INA UMRI USIOPUNGUA MIAKA 4 WEWE UNAONA KAZI NGUMU?,........SHIT .BASI KUMBATIA GAMBA LAKO TUONE KAMA LITAKUPA HILO BUKU( JAPOKUWA SI KWELI KAMA WANALIPA BUKU)

MAANA KUNAMSHIKAJI AMECHUKULIWA HAPO KA TRAINEE LOAN OFFICER NA LAST WEEK ALIKUWA NAFANYA THE SAME TASK , LUNCH TU ILIKUWA NI 4500, THEN BADO KUNA TRAINEE ALLOWANCE AMBAYO ATALIPWA MWISHO WA MWEZI ISIYOPUNGUA LAKI MBILI. HEBU FANYA HESABU HII 4500X 20 JUMLISHA 200000 KWA MWEZI HUYO MWENZAKO ANA KAMA LAKI TAU KASORO. SASA UNATAKA UFANYWE NINI. HUO NI MSHAHARA MKUBWA KABISA KWA MTU USIYE NA EXPERIENCE KAMA WEWE!!!!!!!!!!!
 
NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
0
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....

kaka hapo dili lipo! unapimwa tuuu acha uoga! vpi leo umeripoti au?
 
Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,146
1,250
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....
Level ya degree, mshahara laki moja na nusu? Wanatumia scale ya wapi hawa! That is useless, nilitaka kumtafutia kazi ndugu yangu huko, sasa basi. Nishaghairi.
 
NYAMALAWA

Member
May 3, 2012
91
95
Pole bro.Jana tumeitwa intavyu watu zaidi ya 300 asa kama mchezo wao ndo huo itabid tutafte michongo mingine
:flypig:
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,964
2,000
Nilishawahi kuchangia tread moja humu JF juu ya mshahara wa loan officer wa access bank lakini kuna wadau wakaniponda na kusema mshahara wao unafika hadi 1.2M.
Bora mwanzisha mada hii atawafumbua watu macho.
 
kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,820
1,225
mleta mada fuatilia maelezo ya 'NINAHASIRA' na utuletee feedback hapahapa. Je ni kweli kuna 4,500? Inawezekana ushapigwa chakachua na wajanja wa hapo HR. Tauni hapa
 
mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
845
500
Kuvumilia buku ni upumbavu? Na makato yapo vp kama ulitumia mkopo wa chuo dah!:) pole mkuu . I think is better 4u to breach hyo contract.
 
mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,305
1,250
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....

Unajishebedua nini komaa na kazi au acha wengine waichukue siyo kupigapiga mashuzi tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom