Cross over players: Simba wanaye Niyonzima tu na Yanga wana Yondani, Tambwe, Ajibu, Kessy na yule wa almanusura Buswita. Sijui kama inamaana kwa game hii.
Tatizo ni la watanzania wenyewe, viongozi wake wote wanatakiwa kubarikiwa. Ila sisi tunawaweka viongozi wabovu! Fikiria kama tungeweka viongozi wazuri, hii nyuzi isingekuwa na mashiko. Tatizo sio wimbo, kwanza si 'wabariki viongozi wote' bali ni 'wabariki viongozi wake'.
Huyo mama naye mnafiki tu, siku zote walikuwa wapi? wanasubiri hadi madhara yatokee ndio waanze kung'aka! Hili ni jengo la ngapi linaanguka, kwa nini wasichukue tahadhari mapema? kibongo bongo bwana, kila mtu msanii tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.