Wanaume badilikeni!

Mara nyng kibaya uwa kinapata sana nguvu ya kuenea au kunenwa hii ni hulka ya binaadamu wote mfn mumeo akirudi saa 12 jioni hauwezi kumsifia ila akirudi 8 usiku mtaa mzm utajua...kifupi kwa sisi wanaume mazuri mnayotufanyia tunaamini ni jukumu lenu tena haki yetu ivo ufanyapo kinyume ndo utatukuta umu JF tunalalama ila mbn sijawahi kuona uzi wa m'mke umu ndani ukimsifia m'ume kwa lolote ngoja tuone lakini MDHT ivi mkileta huo mgomo ni sisi pekee tunahitaji au umuhimu wa TENDO ni wa kwetu hapo ndo mnapokua dhaifu mkiamini nyie silaha yenu papuchi tu jaribu kuleta huo mgomo labda wenzetu mna mbala wa mgegedo.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!

Unapenda kusifiwa eeh? Rekebisha kasoro utazipata tu
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
Tena mgome siku za hedhi....
 
hahahaaa umenifurahisha mkuu ktk huo mgomo mimi sitahusika kwa kweli
Ee walaaaaa... Tena na hivi usivyopenda wanaume wakata mauno, ndo usigome kabisaaaa..... Maana ukigoma tu, kwa ukame utakaousabaisha, siku unagawa mzigo utakatikiwa uno hadi urudidi kwenye mgomo...
 
Kila kitu inawezekana mkuu, oohh mtalia nyie!

Alie nani...??? Nyie si ndo mnakuwaga wa kwanza kulalama kuwa mnanyimwa kugegedwa...??? Ndo mtaweza kugoma kweli...??? Hivi, utamgomea mumeo tu au hadi vidumu..??? Maana isije ikawa unamgomea mumeo halafu unampa kidumu at the end of day kumbe tumebadilisha, wa ndoa hii kaenda kwenye kidumu kile na wa huku kaenda kwenye nyumba ndogo yake.

Na kama utagomea kila sehemu kuanzia ndoani hadi kidumuni, kwa jinsi wengine mlivyo na vidumu vingi, sijui mtakuwa na migomo mingapi.... Kidumu cha kukununulia nguo umekigomea, mume wa ndoa umemgomea, kidumu cha lift ya kuendea kazini umekigomea, kidumu cha kukununulia ma ipad, ma samsung etc umekigomea (unatafuta kurudi kwenye nokia tochi kama si twanga pepeta), kidumu cha kukununulia vits eti nacho umekigomea (unatafuta kutembea kwa mguu kufuata daladala kituoni) .... HAMUWEZI KUGOMA NA HIZO GENYE MSHINDO ZENU
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

hivi hii ndio asset kubwa mliyonayo? mie wala sishtushwi ukininyima unadoda nayo hata mwezi
 
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!

Wanawake wanastahili kupewa sifa kwa sababu wanavumilia sana hata visivyovumilika can you imagine wangapi wamelelewa na akina mama pekee, so hapa wanaolalamika ni wale waliowatenda wenzao, si unajuaga vile mfumo dume wa Tanzania? Mwanaume anaona ana haki ya kumtenda mwanamke, ila yeye akitendwa anapiga kelele. Ukitaka mapenzi mazuri onesha mapenzi, japo udhaifu mkubwa kwa baadhi ya wanawake wakipendwa wanaanza vituko kwa vile anajuaga vile huwezi ondoka.
 
mmmmhhhh!!!! mengine wanayotupakaga humu yana msingi ila mengine ni kuleteana tafrani tu...
 
Alie nani...??? Nyie si ndo mnakuwaga wa kwanza kulalama kuwa mnanyimwa kugegedwa...??? Ndo mtaweza kugoma kweli...??? Hivi, utamgomea mumeo tu au hadi vidumu..??? Maana isije ikawa unamgomea mumeo halafu unampa kidumu at the end of day kumbe tumebadilisha, wa ndoa hii kaenda kwenye kidumu kile na wa huku kaenda kwenye nyumba ndogo yake.

Na kama utagomea kila sehemu kuanzia ndoani hadi kidumuni, kwa jinsi wengine mlivyo na vidumu vingi, sijui mtakuwa na migomo mingapi.... Kidumu cha kukununulia nguo umekigomea, mume wa ndoa umemgomea, kidumu cha lift ya kuendea kazini umekigomea, kidumu cha kukununulia ma ipad, ma samsung etc umekigomea (unatafuta kurudi kwenye nokia tochi kama si twanga pepeta), kidumu cha kukununulia vits eti nacho umekigomea (unatafuta kutembea kwa mguu kufuata daladala kituoni) .... HAMUWEZI KUGOMA NA HIZO GENYE MSHINDO ZENU

ndo nimekuanzishia mgomo hivo na utadumu kwa MUDA usiojulikana
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

Gomeni for a week nafsi zetu zitulie!!!!!
 
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

Hili wazo liambatane na maandalizi ya wanasheria na TAMWA kuwatetea watakaopigwa na kufukuzwa, na pia vituo vya kuwahifadhi hao wahanga wa 'mgomo'.
 
McdonaldJr. Kwani uongo! Sisi sio wadhaifu wadhaifu kama mlivyo nyie wenzetu, tunauwezo wa kuvumilia lakini nyie wenzetu ni wadhaifu sana na mnatutegemea sana katika haya maisha cha ajabu mnatuponda sana humu MMU. Bora kuwanyima tu. Nadhani mgoma utawaafect sana nyie kuliko sisi ingawa hapa kesi za ubakaji natumai zitaongezeka.
 
hivi hii ndio asset kubwa mliyonayo? mie wala sishtushwi ukininyima unadoda nayo hata mwezi

Mungu katujaalia kitu ambacho nyie mnakithamini kuliko vitu vyote. Acha kudanyanga, ukinyimwa kunamawili, unaweza ukabaka au punyeto zitakuhusu. Tumekuwa tukisikia watu wanabaka watoto wao, kuku nk. Unadhani ni nini hiki? Wanakoso hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom