utani umenicost najuuta!!!

kabla ujajibu txt ya mtu nilazima uangalie upepo unaendaje....achana nae endelea na mishe zako.
 
Mimi kuna watu huwa nashindwa kuwaelewa. Unasumbuliwaje na mwanamke ambae ni rafiki tu? Mwanamke pekee ambae anaweza akanisumbua ni mpenz wangu tu na sio mwingine unless kama namtaka.

Sasa kigumu kiko wapi hapa? Unampenda mpenzi wako na hutaki kumsaliti, na huyo binti ndio kashakupenda unategemea kutakuwa na urafiki tena hapo? Either urafiki uishe ili ubaki na the original au uanze na the new and forget the original....
 
...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?

Ha ha ha kakugundua ulimtania, na yeye anakutania tu, ila wewe ndo uko serious!
 
Imeshakuwa Facebook sasa
kila mtoto akipata kasimu ka Inernet au Modem hasira zake anatuletea
hawa watafutiwe Jukwaa lao maana hapa tunaingia bahati mbaya na ukiwasahihisha hawakubali

hata wewe unayejiona great thinker ulianza kama great sinker!!! ungekuwa mkubwa kiivyo usingereply hapa!!
 
Mbona rahisi tu
We pita kushoto
Na yee apite kulia

Au unaona utapoteza mtu wa kukulipia nauli...
 
mwambie nilikutania thn muite faragha piga game ukimaliza palepale mwambie inakuaje yule mchumba angu umsikilizie jibu lake. thn mshinde kwa hoja akisema umuache mchumba ako. ukipigha game hata asipotaka kukuona sawa tu...
 
hata wewe unayejiona great thinker ulianza kama great sinker!!! ungekuwa mkubwa kiivyo usingereply hapa!!
Pia ni ushauri umeutoa
Lakini utajifunza mengi humu ndani ukikua na ndio maana sikukujibu wewe
nimewatahadharisha kuwa tutaona mengi hasa kwa watoto wanaoBalehe humu JF
 
Imeshakuwa Facebook sasa
kila mtoto akipata kasimu ka Inernet au Modem hasira zake anatuletea
hawa watafutiwe Jukwaa lao maana hapa tunaingia bahati mbaya na ukiwasahihisha hawakubali

ha ha ha ha ha ha ha ha ts true nmemshangaa anasema anasema ana ndevu bt anaandka utoto
 
kama humpendi huyo msichana kwa nini unaona vigumu kuachana naye urafiki wenu?
My advice: mkubalie kiutani tu! kisha mgegede kiutani tu! mchumba wako akigundua mwambie huyo msichana ni mtani wako. vinginevyo itakugharimu saaaana!
 
Mimi kuna watu huwa nashindwa kuwaelewa. Unasumbuliwaje na mwanamke ambae ni rafiki tu? Mwanamke pekee ambae anaweza akanisumbua ni mpenz wangu tu na sio mwingine unless kama namtaka.

Sasa kigumu kiko wapi hapa? Unampenda mpenzi wako na hutaki kumsaliti, na huyo binti ndio kashakupenda unategemea kutakuwa na urafiki tena hapo? Either urafiki uishe ili ubaki na the original au uanze na the new and forget the original....

Au mchumba wake awe "MY NUMBER ONE" na huyo rafiki apewe namba zinazofuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom