Mwalimu Nyrere honoured at the United Nations

Mwalimu Nyrere honoured at the United Nations

Wengi wanaompinga Nyerere, ukiwaweka kwenye mizani wanainuka!
 
Wanajua ukweli wa mambo wanachofanya ni kumliwaza yule mwanahistoria wao!! Nyerere jina kubwa kwenye medani za siasa!

Chama leo F Fox ni m CCM mwenzako lakini unamruka ? Watu wale bwana akili zao sijui vipi .Shule hawaendi pamoja na mwalimu kuwasaidia wasome .JK mwenyewe kasoma kwa wakatoliki kakiri huko Bukoba lakini duh !!!
 
Mkuu EMT
Shukrani kwa taarifa nakala yangu ipo njiani!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ukweli siku zote huumiza sana moyo

Vipi wapi nitapata kahawa na kashata?

kipata, gerezani, aggrey na mkunguni... nAona wazee w mitaa huyo pamoja na babu yao mudi said wamelala. wakiamka ni full mapovu
 
Chama leo F Fox ni m CCM mwenzako lakini unamruka ? Watu wale bwana akili zao sijui vipi .Shule hawaendi pamoja na mwalimu kuwasaidia wasome .JK mwenyewe kasoma kwa wakatoliki kakiri huko Bukoba lakini duh !!!

Kuwa wanaccm haina maana tunakubaliana kila kitu; kila mtu ana akili na upeo wake wa kupembua mambo!
 
mapovuuu hayo yashaaanza
Si povu!

Jan Elliason kama ndiye yule Mswede nimjuaye mimi basi kabla ya kwenda UN alishawahi kualikwa Msikitini akaja tukakaa naye masaa matatu "tukipiga gahwa" ukiondolea dakika 40 alizoongea na Waislamu kwa jumla.

Kwa hiyo nina kijiupeo cha kuelewa ni mtu wa namna gani aliyeongelea maneno yaliyowakosha kina chama.
 
Huyo ni mualikwa! usitegemee kumualika yoyote kwako halafu aanze kumsema vibaya mtu wako. Amesema kile kile mnachotaka kukisikia!
Sideeq, kuna mambo ya kipuuzi huwa napotezea lakini kwa hili naomba nikusaidie kidogo. Huyu mama anatoka Sweden na aliwahi kuwa Waziri kwenye serikali ya nchi hiyo wakati huo ikiongozwa na Waziri Mkuu Olof Palme. Ni marafiki hawa wawili, Olof Palme na Mwalimu Nyerere, ambao mwaka 1986 walisaini ujumbe uliowasilisha kwa viongozi wakuu wa nchi mbili kubwa duniani, Marekani na Urusi, ukiwataka kusitisha mbio zao katika mashindano ya silaha za nuklia.

Sweden pia ni mojawapo katika nchi za Ulaya iliyompa heshima kubwa sana Baba wa Taifa kwa hekima yake na jina lake kuweza kufahamika nchini humo hadi katika shule za vidudu. Sideeq, najua chuki ambayo baadhi yenu mnayo dhidi ya Baba wa Taifa lakini amini usiamini hamtaweza kupunguza hata chembe cha heshima aliyoweza kujijengea ndani na nje ya nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
Sweden pia ni mojawapo katika nchi za Ulaya iliyompa heshima kubwa sana Baba wa Taifa kwa hekima yake na jina lake kuweza kufahamika nchini humo hadi katika shule za vidudu..
Si kweli!
BTW Jan Elliasson nimjuaye mimi ni mwanamume aliyewahi kushika post ya juu wakati wa PM Göran Persson wote wasoshalist na ndiye huyo huyo aliyekwenda UN kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
 
Mwalimu had great vision, exceptional intellect, warmth and wit. He was a man of ideas, a creative thinker and was always engaged and fearless in the struggle for justice and freedom. President Nyerere was a champion for Africa taking control of its own destiny, free of dependence.
Hili halina ubishi. Kwenye kupigania ukombozi wa binadamu, he was fearless. Hata hivyo katika ubinadamu wake, along the way, kuna makosa mengi pia aliyafanya. He noted.

Mwl. Nyerere ataendelea kuwa baba wa Taifa kwa mazuri aliyotufanyia na pia kwa mabaya aliyoyafanya kwa kufahamu au kwa kutokufahamu.
 
Hili halina ubishi. Kwenye kupigania ukombozi wa binadami, he was fearless.
Juzi tu Malecela Snr alikuwa akielezea indirectly kuhusu uoga wa nyerere alipokuja kujua kuwa Malecela ameizungumzia vibaya Israel kwenye mkutano wa UN.
 

The Permanent Mission of Tanzania to the United Nations organized the commemoration of Mwalimu Nyerere Day on 14
October. The event coincided with the launch of a book titled "Julius Nyerere: Africa's Titan on a Global Stage: Perspectives from Arusha to Obama."

It has been co-edited by Profesor Ali Mazrui, an Albert Schweitzer
Kwa wale wanaotaka kukisoma hicho kitabu kinapatikana Amazon:
Table of Contents

Utumbo mtupu.

What has Nyerere got to do with Obama? He knew him not.
 
Juzi tu Malecela Snr alikuwa akielezea indirectly kuhusu uoga wa nyerere alipokuja kujua kuwa Malecela ameizungumzia vibaya Israel kwenye mkutano wa UN.
Hapa sikubaliani na wewe.

Siasa na mitazamo ya kiuchumi ya Mwl. Nyerere zilimuunganisha na Yasser Arafat. In fact, Tanzania ilikuwa na mahusiano imara na Wapelestina zaidi ya Waisrael.

Sasa sijui huu uoga tena unatoka wapi.
 
"Following are UN Deputy Secretary-General Jan Eliasson's remarks"

She never met Nyerere, hearsay and no more!
 
Hapa sikubaliani na wewe.

Siasa na mitazamo ya kiuchumi ya Mwl. Nyerere zilimuunganisha na Yasser Arafat. In fact, Tanzania ilikuwa na mahusiano imara na Wapelestina zaidi ya Waisrael.

Sasa sijui huu uoga tena unatoka wapi.
Rejea mahojiano ya Malecela aliyoyafanya juzi juzi huko Amerika.
 
Hapa sikubaliani na wewe.
Siasa na mitazamo ya kiuchumi ya Mwl. Nyerere zilimuunganisha na Yasser Arafat. In fact, Tanzania ilikuwa na mahusiano imara na Wapelestina zaidi ya Waisrael.
Sasa sijui huu uoga tena unatoka wapi.
Hana habari kuwa Mwalimu aliwahi kuvunja uhusiano wetu na Israel na kumtimua balozi wake nchini. Sababu? Palestina.
 
Back
Top Bottom