Recent content by nilapela

  1. N

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Ndugu yangu wewe kama umeiona fursa endelea, siku ukija kutahamaki utakuta hiyo fursa watu walishaanza kitambo na wanapiga hela.kiukweli hiyo biashara kwa tz ni mpya nakushauri kama una hela anzisha pale Dodoma aquarium utapiga hela mbaya Mimi mwenyewe hilo wazo lipo sema nakosa mtaji tu.
  2. N

    Tahadhari leo kwa wateja wa M-PESA.

    Nafikiri kuna shida kubwa ipo wakati wa kuhamisha au kutuma pesa toka mpesa kwenda tigo.na majibu yao yamekuwa hayo hayo 72 hrs.Mimi imenitokea Mara mbili lakini sikupata huduma kwa wakati Hata baada ya kupiga Mara kwa Mara customer care yao zaidi ya kukuwekea matangazo mengiii.Tuache kutuma...
  3. N

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SUMATRA

    Unaenda kwenye tukio la kumwokoa mtu kwenye majanga kama hayo ya Florida unavaa suti na tai huo muda unautoa wapi ndugu acheni hizo movie.
  4. N

    TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

    Kaka si umeshaambiwa hilo jengo limejengwa karibu na Makazi ya Rais (Ikulu) hivyo kuhatarisha usalama wa Rais na usalama wa nchi, ndo maana Tiss lazima wahusike kutoa kibali cha ujenzi wa majengo ya aina hiyo karibu na Ikulu sasa huyu jamaa kaeleza mahakamani kuwa Alipata kibali toka Tiss cha...
  5. N

    Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

    Unamkumbuka mama Tully na luoga na Mzee masome na Kavura wewe,dah kona unamkuta mzee bishagazi ni noma first class itoke wapi.ADA 1994-1997
  6. N

    I salute you Mbowe

    Kwa hiyo ikija CDM ndo itajaza dawa mahospitalini,watu wataacha kufa, tutakunywa maziwa badala ya maji, nyumba za nyasi hazitakuwepo sababu CDM watagawa bati na vigae kwa watu wote huo ni uwenzawazimu wa kuwaza hivyo. maisha yatabaki palepele sana sana utabaki kujuta tu.nchi hizi za kiafrika...
  7. N

    Taasisi ya Utafiti nchini Marekani yasema Magufuli atakuwa Rais

    Mkuu wagombea uraisi wako wengi ukisema hivyo inamaana hao wengine watapata 0% ya kura zilizopigwa,kumbuka kuna ACT wazalendo,Kuna TADEA,Kuna ADC,TLP,UDP nk ambao sio wanachama wa Ukawa so hiyo tafiti sio realistic,Lets think and rethink.
  8. N

    Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

    Sisi watanzania sijui tumelogwa na kitu gani,huo mtandao ni mpya but mtu anamwaga tu misifa kibao as if anajua kila kitu, tuache propaganda za kijinga ndo zinazotuponza hata kwenye chaguzi zetu na michezo pia propaganda. sasa mnataka kuleta kwenye mitandao ya simu,hebu tuache ujinga huo...
  9. N

    Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Sixtus Mapunda avunja Ngome ya CHADEMA Songea

    Ukiwa mwongo unatakiwa uwe very SMART na sio kukurupuka,Habari umeandika juu ya songea Iringa inaingiaje hapo kwenye red mkuu.
  10. N

    Wakiona hivi wanajisikiaje rohoni mwao?

    Top 10 Poorest Countries of the World (2013) Rank Country Currency GDP Per Capita (2013) 1 Democratic Republic of the Congo Congolese Franc $394.25 2 Zimbabwe Zimbabwean dollar $589.46 3 Burundi Burundi Franc $648.58 4 Liberia Liberian Dollar $716.04...
  11. N

    No comment

    Hii nimeipenda sana.hasa ingefanyika hapa kwetu kwa wale wauza madawa ya kulevya, majambazi na mafisadi.
  12. N

    Tanzania yapaa kijeshi Duniani

    Nilicho kigundua humu jamvini ni kuwa kuna watu kazi yao kuponda kila kitu kizuri cha nchi hii,hii habari ni ya kweli na clouds wametoa kwenye mtandao check link kwenye google inayosema. ( 35 most badass Elite Fighting forces in the world ) utaiona Tanzania imo katika africa ndiyo inayoongoza...
  13. N

    Kuna umuhimu wa kuvaa saa mkononi wakati una simu?

    Ni lini ulitoka kwenu manelumango,hujui kama saa ni pambo? ni saa na mtu kavaa miwani wakati hana tatizo la macho.ndo maana wengi hupenda kuvaa si bora tu saa bali ni saa nzuri yenye kiwango kulingana na wewe ulivyo,na miwani nayo hivyo hivyo.
  14. N

    Unafiki wa John Pombe Magufuli

    Mnamwonea tu Magufuli,hilo swala la viwanja vya pale mayfair ni swala la manispaa ya kinondoni, na wizara ya ardhi. ila nataka kukueleza kuwa katika watu ambao ni wachapa kazi magufuli naye yumo. mapungufu anaweza kuwa nayo kama binadamu na kutokana na system iliopo yeye sio mungu,hata akina...
Back
Top Bottom