Recent content by niibada

  1. N

    ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

    Kwani huo mkutano unanini cha zaidi maana mgombea mwenyewe wa ukawa anaongea kidogo tu!!! Au kwa ajili ya kuangalia wingi wa watu walohudhuria? Maana thread nyingi zimeanzishwa kuutangaza mkutano huo!!! Maana kumbuka kuwa WINGI SI HOJA!!!
  2. N

    Polisi watumia Mabomu kutawanya vijana wanaodaiwa kuwa ni 'vibaka' Ubungo, Dar

    Kumbe kuna umuhimu wa watumishi kwenda shule maana huwezi kumnyanyasa rubani kisha ukamwambia wapeleke abiria ni kosa kubwa sana! Anaweza kuwaua wote na yeye akafa itakuwa faida ya nani? Kila dereva (anayeendesha chombo cha moto) anatakiwa awe huru kifikra ili afanye kazi yake vizuri!!! Kwa...
  3. N

    Ushauri kwa rafiki yangu mpendwa na naomba wanajamii mtoe ushauri wenu pia

    Rafiki yangu alikuwa na rafiki wa kike ambaye hajawahi kukutana naye kimwili hata mara moja! Rafiki yangu hunieleza kila yanayojiri maana anasema rafikiye wa kike alipata kumwona alipokwenda kufanya semina mkoa wa Tanga. Anasema alipewa namba ya rafiki huyo mwadada baada ya kumwona akipita...
  4. N

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Naona sasa ni wakati muafaka wa kuweka vitu wazi kila linalowezekana liwe wazi wekeni watoto wasome wafahamu historia ya nchi yao Wekeni vitabu sehemu zinazofikiwa na watu wote (masikini, tajiri,mkristo,myahudi,mpagani,mkata majani na wengineo)
  5. N

    TANZIA: Yule mtoto aliyewekwa kwenye BOX MIAKA MINNE afariki dunia! ...so sad

    Mungu amlaze mahali pema peponi! Mtoto wa watu hana la kufanya maana ilikuwa raha za baba yake na mama yake lakini baba ndo mwenye matatizo kwani alikuwa haendi kumuona? Au anao wengi wa namna hiyo? Inaonekana hana huruma na watoto anaowapata kwa kulala na wanawake! Hakika ya zinaa ni fedheha...
  6. N

    Mzungu kumlazimisha house-gir Dar kufanya mapenzi na mbwa wajirejea

    Hata akipatikana hatafanyiwa chochote maana atatoa rushwa lakini wanyonge tuungane kuondoa tatizo Je ingekuwa kwao Ulaya, Marekani nk wewe mweusi ukalazimisha mtoto wa kizungu kufanya hivyo ungekwepa mkono wa sheria! Viongozi wa serikali kupitia jeshi la polisi acheni kulamba miguu ya weupe...
  7. N

    Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    Sio kosa kufanya biashara mbona viongozi wengi wanafanya biashara akiwemo Mbowe,Ridhiwani, Mkono na wengineo! Cha msingi iwe ni ya haki bila mizengwe! Angalia usafiri wa treni umedumaa kwasababu viongozi wengi wana malori na mabasi ya biashara je nayo tusemeje! nadhani CHADEMA wajipange vizuri...
  8. N

    Siku 3 za maombolezo: Kufuatia kifo cha mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA

    Tuko pamoja katika hili! Mungu amweke mahali pema peponi Amen
  9. N

    Tunaaminishwa uongo!

    Viongozi, vyombo vya habari,nk mbona wanaaminisha uongo! Mbona hakuna aliye tayari kusema ukweli kwa manufaa ya nchi yake! Kila taarifa haina ukweli kuanzia idadi ya vifo, hadi taarifa ya chama kwa umma! Naomba waandishi kuweni wakweli kwa habari husika na jadilin kiundani ili tupate faida za...
  10. N

    Waziri Mbarawa apata ajali Geita

    Angalieni dua za wanyonge juu ya bili za kodi ya simu ni mbaya na michango ya wanajamii humu nyingi zitaleta maafa kwa viongozi wetu Tumwombe Allah awape macho muone/ndoto njema muote na mpate kujua ni nini wananchi wanafikiria juu yenu na familia zenu ili mpate amani na furaha katika misha...
  11. N

    Walimu wachapwa viboko na wazazi

    Ni dhuluma kwa wanaofundisha hawana wa kuwatetea maana hata chama chao/ umoja wao ni wa kinafiki Umoja wa waalimu ni kukata mishahara yao midogo na wakila makato yao tu na matatizo kama haya hayashughulikiwi hata kidogo. "WALIIMU UNGANENI HATA MISHAHARA MTABORESHEWA LAKINI BILA HIVYO NI KELELE...
  12. N

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Viongozi wetu ni wanafiki sana maana wanasema na kukana kauli zao Mfano 1. Je wizara inapoandaa bajeti huwa hakuna mjadala wa wazi au kwa vile wanaojadili wanacho na hawajali wasichonacho 2. Je kweli wafanyakazi wanashida kama mwananchi wa kijijin ambapo kupata elfu moja tu taabu 3. Je wanajua...
  13. N

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    Naomba kuuliza maswali haya ndo tutaacha mambo ya udin chuon 1. Vyuo vyetu vya umma vinaongozwa kidin 2. Je wakuu wa vyuo vyote vya umma wanateuliwa na Maaskofu au Mufti 3. Je mtanisaidia walau list ya viongozi wa vyuo vya umma vyote hasa Mkuu wa chuo, makamu wake na DVC kwa kila chuo cha...
  14. N

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    cha msingi nini unawafanyia wananchi kama huna unachowafanyia wananchi huna maana Kama shule yako iwe ndogo au kubwa lakini ukaleta manufaa kwa wananchi basi wewe ni mtu utakayethaminiwa na wananchi au jamii au taifa husika
  15. N

    Daktari aliyesoma CBG

    Hawajui wanachokifanya wanachojua ni kulipana posho tu na nadhani hata mtalamu wa IT hakuna kama yupo kaajiriwa kifadha na kwa maana nyingine hakwalifai kuwepo hapo ila kwasababu baba yake ni fulani basi na anajua kubonyeza herufi za kwenye komputa basi anawekwa Maana kama ni mtu wa IT na...
Back
Top Bottom