Nipo hapa kutoa ushuhuda, leo imekuwa siku ya furaha kwangu baada ya Mungu kunikumbuka na kupata kazi, nilifanya oral tarehe 4/06/2025, jana pia nilifanya written interview na nikafaulu kwenda oral wakati najiandaa na oral ya week ijayo napewa taarifa nimepata kazi.
Naomba kuuliza, kwa watu waliofanya usaili jana kada ya Afisa Ardhi, Oral inafanyika wapi? Kwenye Portal wameandika Dodoma ila kwenye tangazo la mabadiliko ya venue wameandika utafanyika kwenye kanda, je chakufuata ni portal au tangazo?
Kuna comment ya shabiki kaandika Simba inapiga hatua huku Yanga ikibaki bila kupiga hatua, aiseeeh nimeshangaa yani mtu kachukua point 3 bado unaona upo nae sawa tena umezidi kwamba wewe unaimarika zaidi[emoji1787][emoji1787]
Wenzetu wakiwa hawana hatua[emoji849][emoji849]
Yani umefungwa na umeshatoa droo moja unasema mwenzako hana hatua, hivi huoni gap linaanza kuwekwa hapo hizo point 3 utakuja kuzikumbuka usisahau pia point 2 zile za Coastal.
Kesi haijaanza kusikilizwa hiyo, ikianza kusikilizwa watasikilizwa Jamhuri baadae na nyie mtapewa nafasi ya kusikilizwa utetezi wenu. Kwa hiyo usijali wakati ukifika utatoa maelezo yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.