The greatest intelligent man ?
Kiukweli sina pingamiz, THE BOLD yupo vizuri sana kwenye fasihi simulizi kama si andishi, hapa JF sijaona kabla.
Ila kum-credit kama THE GREATEST INTELLIGENT MAN hapa JF siyo sawa kabisa.
Labda kama una definition yako binafsi ya intelligence au bado mgeni umekuja...
habari mkuu Jimena.
natumaini kule upande wa pili mko salama na mnaendelea vizuri kabisa.
ubongo wa mwanadamu pamoja na utendaji kazi wake ni moja kati ya sehemu pana sana zinazofanyiwa utafiti wa kina kwa sasa.
ubongo wa mwanadamu ni super computer ambayo haina weekend au naweza kusema ina...
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh aisee kaka
miracles ?
toa mifano labda sijakupata sawia.
mambo mengi yaliyo/yanayotukia yanaweza kuonekana ni ya kimaajabu, kutokana na kutokuielewa mechanism tendaji katika tukio/jambo husika.
mambo mengi yanayosemwa kuwa ni miracles yanaweza kuelezewa vizuri bila kupapasa...
Ahsante mkuu Chechele kwa bandiko lako.
kiukweli mm ni fun mkubwa wa NIKOLA TESLA, na pia nina amini kuwa jamaa alikuwa sahihi kwa mamb mengi hasa nikimhusisha katika energies, waves and vibrations. kiufupi jamaa alikuwa FUTURIST
ni kweli kabisa kuwa kazi zake nyingi zilikuwa ignored.
Mfano...
haahahaa ahhahahahaha ahahhahahah ahha mleta 3D umenifurahisha sana, naomba na mm nichangie kidogo.
kipenyo cha milky-way galaxy kinakadiliwa kuwa ni almost 100,000 light years {miaka laki moja ya kusafiri kwa mwanga}
hivyo basi, ikiwa yesu yupo upande mmoja wa galaxy yetu na akahitaji kuja...
Mleta uzi ulishawahi msikia mtu anaitwa DIOGENES ambaye alimkalisha ALEXANDER THE GREAT na kumfanya ajione si chochote si lolote mbele ya huyu DIOGENES.
au huyu mwingine aliitwa ENOCH kutokana na THE BOOK of ENOCH ambacho kilikuwa removed from the HOLLY BIBLE, inasemekana mtu huyu alikuwa...
hii ipo mwishoni mwa muvi ya MADMAX THE FURY ROAD {FURIOSA}
"WHERE MUST WE GO, WE WHO WONDER THIS WASTELAND, IN SEARCH FOR OUR BETTER SELVES ?"
by THE FIRST HISTORY-MAN
MADE IN MBY CITY
you said it all mkuu
nashukur kwa kunielimishia kijana, maana naona bwana mdogo anaanza kuifananisha JF na FB kwa kutuletea habar zilizo na utapiamlo
MADE IN MBY CITY
try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani...
mkuu BIGURUBE, huyu jamaa ni mmoja kati ya wale watu wanaoifanya JF iendelee kuwa sehem inayoheshimika. lakini naona sikuizi amekuwa mtoro sana hapa jukwaani
ukimuona popote naomba uni-tag mkuu
.made in mby city.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.