mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,640
- 8,966
Watu wengi huwa wanauliza swali hili mara nyingi sana kama kupinga au kujaribu kuonyesha kuwa hakuna Mungu lakini mimi leo nataka nikwambie Mungu yupo na ndiye aliyezifanya mbingu na nchi ktk physics kuna vitu vitatu time space matter mwanzo sura ya kwanza inasema hapo mwanzo yaani in the beginning (time) God created the heavens (space) and the earth (matter) to create this lazima alikuwa outside ya haya yote ukiuliza swali hili maana yake ni kuwa Mungy wako ni limited God is unlimited he is far very far beyond everything ni hayo tu