Recent content by Nico jm

  1. N

    JamiiForums Tanzania TatuMzuka ni matapeli? Karibuni Tujadili.

    Mimi naona kuwaita matapeli si sahihi na ndio maana wakasema bahati na sibu ukikosa wewe jua umemchangia mwenzako na wewe subili siku yako ipo halafu siyo lazima kucheza.unaweza kudumbukiza mia tano kwenye kibubu ndani mwaka unafungua unakua mshindi bila presha.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunamuomba Mungu ili aondoe matatizo aliyoyatengeneza mwenyewe?

    Sijakuelewa hapo mwishoni yaani Mungu aumbe Shetani atusogeze kwani alivokua anaumba alitaka ayapeleke wapi na kwanini ampe shetani atusogezee sisi?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa GOOGLE? Mbona utajiri wake haujulikani kama Facebook na Whatsap?

    Nyanza=nyanja ila usijali wanakuja wenyewe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

    Labda na yeye akienda jela nyota yake itang'aa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unahisi kinahodha kilicho tudondoshea kivuko chetu kilikuwa kinachati na nani?

    Si ubinadamu hata kidogo tumupeteza ndugu zetu yeye analeta utani.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nyoka avuruga date yangu na habiba

    Basi usikate tamaa naona huko pentagoni kuna watoto wazuri utapata mwingine
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Yaani unasitisha uokoaji kwa sababu ya giza karne hii kweli ni maajabu!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

    Mwanaume aliekamilika hawezi kumwambia mwanaume mwenzie ana sura mbaya anataka awe na sura nzuri ili iweje
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

    Hivi vitabu vya dini vitakuchanga sana kwa sababu vyenyewe tu vimejichanganya
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya dini na ibada katika maisha yetu ya kila siku!?

    Hizi dini faida yake ni kuwajaza watu uoga na kuwa tajirisha wachache Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom