Hui ni ujuha. Niile zamani. Mnapotaka haki sawa ni kwenye eneo gani hasa, km kila kitu mnamuelekezea mwanaume. Pigeni msuli pamoja. C kila kitu mwanaumemwanaume alafu iweje? Km huna kazi uko home utaeleweka na kukaa home upambane na hali ili maisha yasonge mbele. Kwanza wanaume wa namna hiyo...
Duh. Hata km nilikuwa nalogaga hapo s ningeharibu uchawi sasa!![emoji15] [emoji15] unamuhitaji Yesu tu. Ukishampata utajua km awali ulikuwa umelogwa au kumpata Yesu ndio umelogwa mkuu
Hahahah leo umenichekesha. Wanaume watazira vyooote c mwanamke, na mwanamke atazira vyoote c pesa. We jifanye kidume cha kuzira, nakupa siku chache tu utavua hiyo jins. Huo ni mwili c gogo! Mbona nafsini mwako ushaanza kujiuliza unaanzaje kuomba mech!! Swala ya malize na usimame km mwanaume...
Utakuwa mtumwa hadi lini. Dawa si kuogopa. Vunja ukimya na tupilia mbali hofu. Hautaweza kuwa huru hadi utakaposema ukweli. Kwani ndoa ni kitu gani km hauko huru? Jifunze kwa wimbo wa Bukuku unaosema DUNIA HAINA HURUMA. Yesu tu ndie atakaekuweka huru. Ila tambua mshahara wa dhambi ni mauti
Na ny mjiongeze. Haiwezekani mume aruke ukuta wakati mkewe yupo ndani. Na ni kwanini wa funge gate wakati mume hajarudi hadi aruke ukuta. Km hakumchoma kisu kweli na kifo chake kilisababishwa na kuruka ukuta huko ndani ni jehanamu. Na kwanza huo ukuta ni wa taifa had uruke uumie kiasi cha kufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.