Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.Naomba details zako za ukweli..jina lako kamili.jina na mama yako kamili na mahali ulipo..
Matokeo ya nyota yanaonyesha ulishalogwa mkuu..Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.
Naomba uniroge fasta boss. Nipige hata upofu au kifafa, au nipige uchizi niokote makopo.
Natanguliza shukrani.
Yaani hadi kufikia hatua hiyo ushalogwa! Unataka ulogweje kwamfano!!!Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Hivi mpk leo upo bado hujaokota makopo?Soma post za mwanzo, niliandika kila kitu. Kazi kwako mkuu.
Naomba uniroge fasta boss. Nipige hata upofu au kifafa, au nipige uchizi niokote makopo.
Natanguliza shukrani.
Bado.Hivi mpk leo upo bado hujaokota makopo?
Bado sijarogwa mkuu. Naomba unirogeYaani hadi kufikia hatua hiyo ushalogwa! Unataka ulogweje kwamfano!!!
Sio kweli. Naomba uniroge mkuu.Matokeo ya nyota yanaonyesha ulishalogwa mkuu..
Duh. Hata km nilikuwa nalogaga hapo s ningeharibu uchawi sasa!!Bado sijarogwa mkuu. Naomba uniroge
unamuhitaji Yesu tu. Ukishampata utajua km awali ulikuwa umelogwa au kumpata Yesu ndio umelogwa mkuuHakuna kitu kama hcho mkuu. Sijarogwa kabisa.Duh. Hata km nilikuwa nalogaga hapo s ningeharibu uchawi sasa!!![]()
unamuhitaji Yesu tu. Ukishampata utajua km awali ulikuwa umelogwa au kumpata Yesu ndio umelogwa mkuu
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Najua na nina hakika hakuna wa kuniroga humu au huko nje kwa kua uchai haupo na haujawahi kuwepo.Kwailo jina lako tu la mfukua kaburi, basi naamini hakuna wa kukuroga umu ndani, maana weye ni mtahaluma wa ayo mambo ya kishirikina mpaka ukafikia cheo cha mfukua makaburi weye ni noma.
Uchawi haupo na haujawahi kuwepo.View attachment 644641 View attachment 644640 Hilo jina lake tu la MFUKUA MAKABURI UTAJUA Jamaa yupo vizuri atakuwa ameaga wazazi nyumbani.Na kama hauamini uchawi kuna hawa jamaa walikamatwa Nigeria wakila nyama za watu.Je ni ugonjwa,vichaa au wachawi.Naomba BEIRA akujaribu kwani naye si mtu mdogo!
Uchawi hupo ndugu yangu, kama una imani sahihi ya dini uchawi hupo sabab umezungumzwa hata katika vitabu vya dini.Uchawi haupo na haujawahi kuwepo.