Ni kwanini Lipumba ameshidwa kukubalika kisiasa Tabora na Shinyanga wakati ndo kwao?

Kwani mtanzania namba moja yeye mwenyewe anajua anakubalika sana kwao ndo maana katoa katazo

Mwinyi na Mkapa ndio hawa kuwa na viashiria vya Ukabila ukabila
Masasi na Mkuranga Hakuna kitu walichopata special kwa kutoa Rais
 
Kama sio raia wa Tanzania ilikuwaje akagombea uraisi kama sikosei mara tatu au mara nne,1995,2000,2005,2010
Lipumba ki Ukweli sio Mtanzania hilo halina Ubishi ukienda Tabora yote wanajua ndiyo maana Lipumba kujipendekeza kwa magufuli Mtukufu malaika wa chato ili asije kufukuzwa Nchini na kurejeshwa congo.
 
Ni kweli kule Tabora wanajua mapungufu yake yote ikiwemo kutokuwa na mke wala mtoto mpaka umri huo bado anaendekeza uzinzi na utitiri wa michepuko.
Ndio! Kuna mmoja anadai MTU kukubalika kwao ni ukabila, lakin nyumbani kuna umuhim sana, kama MTU hakubaliki kwao lazima ana kasoro
 
Nasikia kuna uraia wa kurithi bongo yani mimi wazazi wangu wanizae marekani kabla ya miaka 18 naruhusiwa kumiliki passport mbili lkn ikifika 18 tu inabidi nichague pass moja tu labda lipumba nae ilikua ivo ila ni upumbavu sana mtu kutafuta maisha ulaya ukaona upate uraia ili kupunguza gharama na urahisi wa kuishi kule unatengwa na serikali yako ila ukizaliwa nje unachagua uwe wapi duh
 
Na nafasi yake kama mchambuzi wa mambo ya uchumi kwa sasa imekaliwa na ZZK, yeye amepoteza mvuto kabisa anasubiri tu bajeti ya mwezi wa sita akosowe
Kazeeka kiumri,kiitikadi,kifalsafa na kwa bahati nzuri sasa hawezi kukosoa,kuhoji wala kudadisi.Kazi akikuwanayo sasa ni kumwunga mkono mwenyekiti na kiongozi mkuu wa nchi!Kama anaota kuja kuwa rais basis si urais wa dunia na nchi hii!
 
Hapa ndio atakuwa alipeleka kabrasha la mauzo ya chama
d4fdec477e12d28552118d73a149b50e.jpg


November 2015,
 
Watu hawaangalii kabila bali sera.
Kama sera mbovu na jinsi alivyobadilika kama kinyonga ndio maana kwao wamemkataa
 
Kazeeka kiumri,kiitikadi,kifalsafa na kwa bahati nzuri sasa hawezi kukosoa,kuhoji wala kudadisi.Kazi akikuwanayo sasa ni kumwunga mkono mwenyekiti na kiongozi mkuu wa nchi!Kama anaota kuja kuwa rais basis si urais wa dunia na nchi hii!
Labda akamrithi Joseph Kabila lakini kwa hapa asahau tumechoka kuongozwa na wageni.
 
Back
Top Bottom