Recent content by nickder

  1. nickder

    JamiiForums Tanzania Mbuga ya Serengeti yashinda tena kuwa mbuga bora Afrika 2021

    Chifu Hangaya anaupiga mwingi
  2. nickder

    JamiiForums Tanzania Mtaalam na mzoefu wa kufuga kuku na kuwahudumia

    Itakuwa ni project Kubwa kama utahitaji mwingne nipo hapa japo sina utalam was vyeti, ila uzoefu kwa kuwa nmewah fuga pia ila kulingana na kukosa mtaji nilfeli
  3. nickder

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Mwanza naskia ni pana fursa nzuri sana hususan kwa watu wenye mitaji midogo, laki nne nafanya kazi vizuri
  4. nickder

    JamiiForums Tanzania Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba

    Nipo na kiasi flan cha ela nilikuwa nawaza nipige Mishe gani kwa hii hela Nillonayo, lkin kupitia huu Uzi nimepta wazo la nn nifanye na hhi hela nilyonayo,shukuran sana nambayako nimechukua ntakucheki
  5. nickder

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Sasa mkuu hapa Nina mtaji butu nazan sntoweza kuhimili gharama za kilimo cha nyanya hususan katika kipindi cha masika pana gharam sana, sasa kam unaweza ukaniunganisha na mdau ambaye yupo na mtaji tuunganishe nguvu, Mimi nitumie na nguvu kazi yangu na hiki kiasi cha mtaji nilichonacho tupige kazi
  6. nickder

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Punje elfu moja unaweza Lima eneo lenye ukubwa kiasi gan
  7. nickder

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Kaka naitaji kulima VIP uwezekano wa kupata shamba hapo ruaha mbuyun na bei zake
  8. nickder

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya mashambani

    Mh hali ni tete
  9. nickder

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya mashambani

    Nauli ipo kaka
  10. nickder

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya mashambani

    Habari wanajukwaa mm ni kijan miaka yangu ni 27 natafuta kaz yeyote ya mashambani ili niweze kujikim kimaisha. 1. Kusimamia shamba,mazao ya nafaka matunda 2. Kusimamia miradi ya ufugaji, km vle kuku ngombe wa maziwa nguruwe, 3. Kusafisha shamba por(kufyeka na kungo'oa viski) kweny Kilimo nipo...
  11. nickder

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

    "kunywen vodka" rais berarlus Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nickder

    JamiiForums Tanzania Kuwapo kwa watu wazima wengi imechangia nchi ya Italia kuathirika zaidi na virusi vya Corona

    inasikitisha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nickder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah sas Hii covid- 19 inataka kutuweka njia panda tunaotaka kurudisha pesa zetu zilizosepa na kanji Sent using Jamii Forums mobile app
  14. nickder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii miamba ya bundersliga walichonifanyia kuondka 50k yangu odds 7 zimefelishwa na wao kushindwa kupata 1.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. nickder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    vip huko Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom