Natafuta kazi yeyote ya mashambani

nickder

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
211
152
Habari wanajukwaa mm ni kijan miaka yangu ni 27 natafuta kaz yeyote ya mashambani ili niweze kujikim kimaisha.

1. Kusimamia shamba,mazao ya nafaka matunda
2. Kusimamia miradi ya ufugaji, km vle kuku ngombe wa maziwa nguruwe,
3. Kusafisha shamba por(kufyeka na kungo'oa viski) kweny Kilimo nipo vizur kwenye mambo ya matunda, viungo, mbogambog, Nafaka mipunga, kwenye ufugaji kusimamia mradi wa kuku nipo vizuri hasa kwa kuku wa kienyeji kuwafuga kisasa.

Nipo mbeya mbarali kwa sasa.
 
IMG-20211020-WA0002.jpg
 
Kama bado hujapata kazi ni pm nikupe idea nzuri ya kazi.....
 
Back
Top Bottom