Inasikitisha sana wiki ya tano sasa maji ya Moshi UWASA sio salama kwa afya wala kutumika kwa matumizi ya nyumbani. Nimejaribu kufuatilia bila jibu. Maji yanatoka kwenye bomba yakiwa na tope. Mwenye kujua ni nini chanzo atujulishe maana wengi wetu tumeadhirika
Ni muhimu mzazi asianze kumkatisha tamaa mtoto wake wakati kuna maendeleo makubwa sana kulinganisha na alivyotoka hapa TZ. Mtoto huwa anaamini sana mawazo ya mzazi na kuamini kwamba kumbe hali yake haitakaa vema akiwa TZ. Baba ridhika na hali ya mtoto.
Daah. Kweli hili swala limekuwa gumzo KAhe. Jana polisi na mkuu wa mkoa walilipua mabomu ya machozi kutawanya wakulima waliochukuliwa pumps zao chemchem ya Miwaleni. Ilikuwa tafrani kali kati ya polisi na raia
marwarwa, rosita,
Fuatilia jarida la Mkulima Mbunifu linalotoka kila mwezi utapata faarifa nyingi tuu za kilimo. Vile vile kuna maonyesho ya kilimo Kikatiti tarehe 27 hadi 29 Oktoba
Naona unashabikia sana ndugu zetu kufanywa vilema na polisi wetu kwa makusudi. Anayeumizwa anaweza akawa mama,baba, mtoto au ndugu yetu. La maana hapa ni kuomba amani itawale kwani hakuna aliyeumbwa kutawala.
Natabiri serikali ya mseto kuja TZ mapema na aliye na busara kama EL kuwa PM na TL kuwa...
Nadhani anaye bore zaidi ni ABD Mwapaya haswa kwenye kipindi cha Kiswahili siku za jumamosi. Yanini kuita wataalam wa lugha toka BAKITA? Aliyewezea ni Regina tuu na sijui siku hizi huu wapi
Ni Mzee madevu wa iringa ambaye sasa ni makamu mwenyekiti chi chi em. kumbuka huyu alishawahi kuwa katibu makini akanyanganywa na Yusus baadaye wakampa nafasi ya makamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.