Recent content by Nicho North11

  1. Nicho North11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hazard say goodbye to chelsea fans
  2. Nicho North11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wamedroo 3 au ya frankfurt umeisahau home and away zote kasuluhu
  3. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba

    Habari zenu wadau! Natafuta Nyumba Yenye Masterbedroom, Sitting room, kitchen iwe ndani ya Fensi maeneo ya Kuanzia Tegeta kwa ndevu hadi Mbezi African lakini iwe karibu na Barabara ya New Bagamoyo. Mwenye nayo anicheki PM hatakosa hata ya Maji. Uzi tayari.
  4. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Unafurahia au unaipenda kazi unayofanya ?

    Ivi Mkuu ni siriazi ndi kazi yako au unatuzuga
  5. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

    Night club ni sawa kukesha lakini sio Open Bar kama KB
  6. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

    Habari za jioni wadau! Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta. Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite...
  7. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

    Sema hili la kula wake za watu hata Bongo nilishalisikia
  8. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Risasa na mabomu maeneo ya kigogo mida hii!!!

    Nendeni eneo ka Tukio mjue kinachojiri
  9. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Naomba Wahandisi wa Ujenzi (Civil Engineers) tuzungumze hapa!

    Procedure za kujenga paved na unpaved haziachani sana na ukijifunza paved vizur unpaved haiwez kukusumbua
  10. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

    Acha kupotosha watu kafuatilie tena namna AC inavofanya kazi
  11. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Kama ungempata yule mdada mwenye kila kitu kama google wakati ule uko sexual active...

    Uzi hauna kichwa wala miguu. Acha kuaibisha chuo chetu pendwa
  12. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Pesa za boom zina nini jamani?

    Enzi zangu hela ya Boom ilikuwa ni ya Bia tu nothing else
  13. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wowote wa kusomesha mtoto chekechea kwa Milioni 4?

    Hujamuelewa mtoa mada itakuwa
  14. Nicho North11

    JamiiForums Tanzania Safari ya maisha ya Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara, ilianzia wapi kielimu hadi kisiasa?

    Mkuu ikiendelea naomba unitag
Back
Top Bottom