mm nimemuelewa,hata mm lilinitatiza ni kitendo cha kueleweshana sio kutoa maneno kama hayo wakuu..coz nafasi zaaskari wa uhamiaji ndo zimetangazwa kusitishwa ila vp kuhusu wasaidizi?
ni kuomba Mungu ndugu yangu,iyo coz post zake kaz sana kuzipata..its better ufanye kaz yoyote ya mtu mwenye degree coz hii ndo tz. my sis kasoma iyo coz pia udsm anaenda mwaka wa tano home...sikukatishi tamaa ila ndo hali halisi tz..another way ni kujiajir tu
Naunga mkono hoja.,.makampuni wananyonya sana hata watu wenye vigezo wanalipwa chini ya kiwango kisa tu wanajua walio wengi wanazisaka pesa.,its is not fair for degree holder kulipwa 200000,..ktk maisha halisi ya sasa huo ni unyonyaji mkubwa na serikali inabidi iingilie kati ilo suala kwakweli..
Graduate laki 3. na makato mengine inakuwa kama 280000,..allowance nyingine ni 50 kwa ajili ya mizunguko coz credit officer hapana kukaa ofisini ww ni field work.. I can say its hard
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.