Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

Inatosha na chenji inabaki.
~jitahidi ukae sehemu ambayo unapanda gari moja kwenda job
»800x22=17,600=/
~Mambo ya mlo
»Chai 500,mchana 2000 usiku 2000
»4500x30=135000/=
~Panga Chumba kimoja master
Kwa town assume 80,000/=
~Gharama za umeme
»30,000/=
~Gharama za maji
»Dumu la uhai 12ltr sh 4000 assume kwa siku unakunywa lita 2 that means kwa mwezi utahitaji dumu 5 total 20,000/=
»Maji ya kuoga/kufulia
Assume kwa siku unatumia dumu 3 @500 kwa mwezi 45,000

Mpaka sasa matumizi ni 327,600/= Roughly 400,000 kwa mwezi naungana jamaa aliyesema kwa fedha hiyo atakuwa anasave 300,000 kwa mwezi yes inawezekana! Hiyo ni kwa single hata kama una family ya atlst mtoto m1 mdogo hiyo fedha inatosha kabisa maana itabidi usiwe unakula magengeni inabidi wife apike,chumba kimoja hakifai inabidi uchukue chumba na sebule au vyumba viwili na sebule 150,000 hadi 200,000
Mchakato.
»Mkaa 1000
»Mafuta 200
»Unga 1000/mchele 1500
»Nazi 1000-1500
»Nyanya 1000
»Hoho/carrot 300/300
»Kitunguu 200
»Pampers 500 moja kwa siku 3(1500)
Total 8000x30=240,000
Kodi ya nyumba 150,000
Maji ya kunywa 40000
Maji ya matumizi 90000
Umeme 30000
Nauli 20000
Jumla kuu 570,000/= inabaki 130,000 (hiyo 130k utalipia 10k au 12.5k Pay Tv)

hapo kwenye bold tu mkuu ndo umeniacha hoi,cjui mtoto gani huyo wa kuvaa pampers moja kwa siku
 
Brother, kwani hiyo kazi unayofanya sasa hivi huko "remote" area ina mshahara mkubwa zaidi ya hiyo laki 7 au? Una sababu za msingi (kama kusoma, matibabu, biashara etc ) za kuiacha hiyo kazi huko remote area na kwenda Dar au unataka tu na wewe uwepo Dar? Sina experience sana ya Dar, ila AFAIK, Dar kuna watu wa grades tofauti tofauti, kuanzia wanaoingiza chini ya 1000Tsh per day hadi wanaoingiza 5Mil Tsh per hour, ila hatujawahi kusikia mtu kaanguka Ubungo kwa njaa. Wote wanaishi. Am sure kama una sababu ya msingi ya kwenda Dar kufanya hiyo kazi, kwa huo mshahara nenda, ila jiandae kwa changamoto mzee, fuata ushauri wa wadau waliosema Dar hawategemei mshahara tu, wana Plan B, C... Y na Z.
All the best.

Ahsante ndugu,
 
Hakukufai kwa mshahara huo

Huku hakuna anyepokea chini ya 1.5m per month.
 
Others we are payed less than that and yet we are surviving in Town, b,coz it depends with the lyf situations and your plans otherwise everything is possible!
 
dar watu wanaishi kwa kula utumbo na miguu ya kuku. hata 30,000 kwa mwez inatosha, ingekuwa jiji la mabillionea arusha watu wanakula soseji na pizza 700,000 haitoshi
 
Inatosha na chenji inabaki.
~jitahidi ukae sehemu ambayo unapanda gari moja kwenda job
»800x22=17,600=/
~Mambo ya mlo
»Chai 500,mchana 2000 usiku 2000
»4500x30=135000/=
~Panga Chumba kimoja master
Kwa town assume 80,000/=
~Gharama za umeme
»30,000/=
~Gharama za maji
»Dumu la uhai 12ltr sh 4000 assume kwa siku unakunywa lita 2 that means kwa mwezi utahitaji dumu 5 total 20,000/=
»Maji ya kuoga/kufulia
Assume kwa siku unatumia dumu 3 @500 kwa mwezi 45,000

Mpaka sasa matumizi ni 327,600/= Roughly 400,000 kwa mwezi naungana jamaa aliyesema kwa fedha hiyo atakuwa anasave 300,000 kwa mwezi yes inawezekana! Hiyo ni kwa single hata kama una family ya atlst mtoto m1 mdogo hiyo fedha inatosha kabisa maana itabidi usiwe unakula magengeni inabidi wife apike,chumba kimoja hakifai inabidi uchukue chumba na sebule au vyumba viwili na sebule 150,000 hadi 200,000
Mchakato.
»Mkaa 1000
»Mafuta 200
»Unga 1000/mchele 1500
»Nazi 1000-1500
»Nyanya 1000
»Hoho/carrot 300/300
»Kitunguu 200
»Pampers 500 moja kwa siku 3(1500)
Total 8000x30=240,000
Kodi ya nyumba 150,000
Maji ya kunywa 40000
Maji ya matumizi 90000
Umeme 30000
Nauli 20000
Jumla kuu 570,000/= inabaki 130,000 (hiyo 130k utalipia 10k au 12.5k Pay Tv)

Kwa hizi hesabu,ina Maana Saving yoyote hakuna? Mbona maisha yanakuwa at risk.
 
Huo unatosha sana mimi naishi kwa laki 5 nalipa ada mtoto na kila kitu mambo yanaenda na full usafiri kila siku i mean mafuta ya gari laki2 laki1 ada na balance matumizi ya ndani. mambo ya matibabu nina insuranca card nhif saafi kwenye kona shaaaaa na 120km per coner
 
Mwisho wa siku ni unafanya nini na mshahara unaolipwa na sio unalipwa mshahara kiasi gani.
Nimefanya kazi na watu wanalipwa mamlilioni ya pesa lakini anakuja kukuomba umkopeshe 50,00/= na kila mara yupo kwenye ukata wa pesa.

Ndio maana kuna kipindi hua nasema kazi za mshahara usipokua makini zinakupumbaza na kukulemaza!
 
Njoo dar, acha uwoga. Unajua mishahara ya walimu wengi wa serikalini ni chini ya laki 5? Mbona wanaishi, wanasomesha na wanajenga? Cha muhimu ni kupunguza anasa
 
Sori kama kuna walionielewa vibaya, nafanya kazi countryside ambako ni very remote and nimepata kazi dar yenye huo mshahara. Nataka kuhamia sehemu ambayo ni mjini kidogo kwa ajili ya career goals ndiyo maana nikawa nauliza kwa hiyo package dar maisha yanasonga?

Kwa kuanzia unapokuja njoo na mahindi yako, mpunga, maharage, njegere, ngano nk. ambavyo umelima huko upcountry. Wale kuku, nguruwe, ng'ombe na wanyama wengine usije nao hutapata pa kuwaweka dar. Maisha yatakuwa poa tu dar. Vyakula vitakapoisha utakuwa umeshajanjaruka na mishemishe ya mjini. Karibu dar dogo, carrier upward mobility fursa kibao tena unafanya kozi itakayokulipa zaidi ya milioni tano kwa mwezi na miposho kibao zaidi ya bunge maalum la katiba.
 
Sori kama kuna walionielewa vibaya, nafanya kazi countryside ambako ni very remote and nimepata kazi dar yenye huo mshahara. Nataka kuhamia sehemu ambayo ni mjini kidogo kwa ajili ya career goals ndiyo maana nikawa nauliza kwa hiyo package dar maisha yanasonga?

Pole huo nao ni mtihani, ukiwa kwenye time unayotakiwa uamua huwanaita ni mtihani maana waweza kujuta.

hata hivyo namna ulivyoliweka swali lako nashangaa kuna watu walikuwa wanajibu I'm sure hawakuwa wanaelewa maana yako pole tena naona wengine lugha si nzuri.

Swala la matumizi linategemea vitu vingi sana :Maried or not, ukubwa wa family, unasomesha na ni shule gani what is your hobbie nk. Sitegemei uwe peke yako bila hata extended family laki saba isitoshe na sitegemei pia uwe na watoto unawalipia ada zetu hizi za Private schools bado majukuku kibao na wewe ni mtu wa kujirusha na mambo kadhaa ya kifahari halafu hiyo pesa itoshe.

Majibu ya mojakwamoja inatosha au haitoshi sijui watu walibase wapi au na wewe umepata jubu au laah.
 
Hivi maisha dar kwa laki net yanaenda? ushauri plz,

Kwani upo nchi gani kiasi kwamba unataka kujifanya hujui kama Dar kuna walimu, polisi na security guards ambao 700,000/- wanaiskia kwa wengine tu!
zaidi ya yote, unafikiri kima cha chini cha mshahara (cha serikali) kwa Dar ni 1 mil!
 
Back
Top Bottom