Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

Hujaspecify ni kazi gani unajua, inawezekana ni kaz ya kudeki bank, ila hata hvyo
 
Kima cha chini cha mshahara cha kisheria kama kinakiukwa watu wanatakiwa kufungwa ati!
 
Mbona bongo kila kitu mteremko tu,na hiyo inawezekana kabisa.
 
uckte wameita hivo na kutaja kias hicho kwa kua weng tunapend kaz yeny mshahara mikubw. so ili wasipate usumbf kua na watu weng walioomb lakin sina iman kama mshahar ndo huo hapo.
 
Yaah ni kweli Barclays ndo zao hizo. Kuna jamaa yangu ilimshinda akasepa.
 
Back
Top Bottom