Recent content by Ng'wanikeowisa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Pharmacist wa kusimamia pharmacy Kigamboni

    Pharmacyst ni nani?sijawahi sikia
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

    hapa kazi tu na bado namba tutaisoma vizuri vijana kwa wazee kwa ccm niijuavyo hamna muujiza wa kuwawezesha kusoma mwaka huu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Asante mwanza,mwaka huu watanyooka tu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    sasa taji hili limetendewa haki mwaka huu,shame on u again and again lundenga
  5. N

    JamiiForums Tanzania FINCA ni ya wa finland?

    yaan huwa sitaki hata kuwasikia hao finca ki ukweli wanatumia umasikini wa watu kuwapa mkopo,mimi ni shahidi in my family.walikopesha kama kikundi pale kijijini kwetu then wale wakagawana kila mtu afanye biashara anayoona but week ya pili from siku wamepewa mkopo walitakiwa kuanza kulipa mkopo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa mpango wa CHADEMA na matokeo ya kudharauliwa na Watanzania!

    yaani haiwezi pita siku huyu kaka hajaandika kitu juu ya chadema na post zake zote ziko against chadema,we jitoe tu ufahamu na njaa zako siku ya ukombozi yaja na wenye fikira duni kama wewe wote tutawakomboa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Asante wanaa Arusha kwa kuiamini chadema,nilitamani sana ushindi huu na hatimaye imekuwa...ukombozi wa nchi yetu unakuja ni swala la muda tu tuendelee kuwa wavumilivu wana cdm na hujuma za magamba.
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    ukona kijana wa leo anashabikia nyinyiemu ujue hata akizeeka atakuwa mchawi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huu ni unyama,serikali mpo kimya

    mmmh wamehamia na kwenye ng'ombe tena....hii nayo ngumu kumeza
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye orodha ya waliopata ajira za Afya yatoka

    ni kweli leo wametoa majina lakini cha kushangaza na aibu nyingine kwa utendaji wa wizara zetu ni kwamba kuna watu wengi bado wanafanya internship means bado wako kwenye mafunzo ya vitendo wamepangiwa kazi wakati watu hawa hawajasajiliwa so are not eligble to practice....na wengine wamepangwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Re: Mhariri Habari leo: Tunaipongeza kauli ya Waziri Mkuu!

    hili si gazeti la serikali,janga lingine hili
Back
Top Bottom